Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Hatari mno
 
Actually, I was making a feminist point, so "feminist" atakayenishambulia atakuwa haelewi feminism.

Describing misogyny is not anti-feminist. Describing misogyny is actually feminist.
Nimesema hivo nikiwa na point kwamba, most feminist don't act feminine, wanafikiri kuwa sawa na mwanaume au kujipa majukumu ya kiume ndo kuwa feminine, which is very wrong.
 
Nimesema hivo nikiwa na point kwamba, most feminist don't act feminine, wanafikiri kuwa sawa na mwanaume au kujipa majukumu ya kiume ndo kuwa feminine, which is very wrong.
Lakini pia wewe mwanamme kuwapangia wanawake what they should be like is not feminism.

So if most feminist don't act "feminine" according to your standards, well, that may be because, they are, well, feminist.

They make their own standards.

Elewa kuwa kuna tofauti kati ya feminist na feminine. Si kila feminist ni feminine. In fact si kila feminist ni female.Na mara nyingine kuwa feminist kunapingana na kuwa feminine.

Feminist have a right to act however they want, na dunia ya gender roles inaisha sasa.
 
πŸ˜‚
Ukichana na "The Habib Show" kuna akina "West Coast Production" wazee wa oiled biga$$ πŸ˜‚
Zamani nilikua nasikia hii recording studio ya WCP inamilikiwa na Dr Dre.

Ila jamaa ndo walikua wanaweza porn wale, nna muda mrefu sijafuatilia ila enzi hizo kina Nyomi banxx na yule mwenzie nmesahau jina, walijua kutuburudisha, highschool enzi hizo unakodi simu kuangalia porn, daaah
 
Hao jamaa walikuwa serious na kazi yao ya kupeleka moto πŸ˜‚
 
Hapo ndio utajua kuna ndoa na kuna kimada tu wa kumtumia
Una mahusiano miaka 8 utakuta kila mmoja ana kwake au hata kama mnaishi pamoja lakini kama hakuna ndoa ile heshima ya kuwa mke au mme hakuna
Kila mmoja ana maisha ya pekee
Ila sasa kazi inakuja kwenye kuishi kama mke na mme ndio shughuli maana ni maisha ya uhalisia

Vijana mkipata msichana msiwachezee kajitambulisheni kwa wazazi na muwaoe badala ya kuwaweka vimada maana utakuta na yeye ana mwingine na wewe una mwingine

Ila mbadilike unaishije na mwanamke hata wazazi wake huwajui, halafu unakuta wengine wanajua jina la kwanza tu
Kuna maajabu sana katika maisha yenu
 
Sio kweli kwamba walidumu miaka nane. Umeweka hiyo ili kukoleza chai yako.

Kuachana ghafla kunawakuta sana watu waliojuna kwa muda mfupi, miezi miwili-mitatu au mwaka na walikosa muda wa kutosha wa kuspend pamoja ili kujua tabia za ndani.

Niliwahi kuwa na dada mmoja hivi. Nikiwasiliana naye kwa simu na outing alikuwa anavutia vibaya sana. Na kulikuwa na watu wengi waliovutiwa naye. Mtu mjinga angeweza kutangaza hata ndoa kesho. Lakini nilipomlazimisha kukaa naye karibu hata kulala naye wiki, nilikuja kujua ni bogus aliyesoma. Buzi nikakata kamba
 
video uliifuta ?
Nilikuwa naziangalizia online tu halafu nafuta browsing history.
Kuna jamaa alikuwa na external hard drive ilikuwa imejaa video za hao jamaa
Hao jamaa ndio waasisi wa kutumia neno ebony na oiled @$$. Jamaa walikuwa serious na commited na kazi yao ya kupeleka moto. πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…