Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Kizuri cha mabaharia huwa tuko real.

Mm kuna mlevi mwenzangu tulifahamiana kwenye viwanja tu akawa hadi mshikaji wangu sana, sasa baadae akaacha pombe kumbe alikua anajiandaa kuoa, si akaoa pisi moja matata sana, harusi kali sema kpnd hicho mambo ya uMC wa insta haukuwepo, ila harusi ilifana.

Sasa bwana kumbe yule binti washikaji zangu wengine walikua wameshagonga hadi wakachoka ile pussy, alikua ni professional bitch, kabla ya kuolewa alikua anafanya kazi sea cliff. Siku moja tunakunywa bia huku tunapiga story nikawagusia mwanetu alieoa, wakaomba picha, tulikua kama sita hivi pale, wawili walianza kucheka kinoma, nikauliza nn, wakanambia "huyu tulishapiga tag team, na si anafanya kazi sea cliff" nilichoka mzee, ila ilibidi nimuite mwana tukamuweka kikao tukampanga full story kiume, jamaa alilia kinoma ila tukashangaa akaendelea kuwa na huyo binti.

Alichokuja fanyiwa hatosahau, hv nnavyoongea jamaa kawa mlevi hana mbele wala nyuma, alimfumania mke wake nyumbani kwake anapigws paipu na mtu alomtambulisha kwake kama kaka ake, yaan alikua anakaa humo ndani akijua ni ndugu wa mke na dogo alikua anasoma chuo UDSM, sasa jiulize dogo kaitomber mara ngp?

Malaya ni malaya tu, hawabadilikagi. Ni kama msaliti. Usaliti na umalaya upogo kwenye DNA
Hatari mno
 
Actually, I was making a feminist point, so "feminist" atakayenishambulia atakuwa haelewi feminism.

Describing misogyny is not anti-feminist. Describing misogyny is actually feminist.
Nimesema hivo nikiwa na point kwamba, most feminist don't act feminine, wanafikiri kuwa sawa na mwanaume au kujipa majukumu ya kiume ndo kuwa feminine, which is very wrong.
 
Nimesema hivo nikiwa na point kwamba, most feminist don't act feminine, wanafikiri kuwa sawa na mwanaume au kujipa majukumu ya kiume ndo kuwa feminine, which is very wrong.
Lakini pia wewe mwanamme kuwapangia wanawake what they should be like is not feminism.

So if most feminist don't act "feminine" according to your standards, well, that may be because, they are, well, feminist.

They make their own standards.

Elewa kuwa kuna tofauti kati ya feminist na feminine. Si kila feminist ni feminine. In fact si kila feminist ni female.Na mara nyingine kuwa feminist kunapingana na kuwa feminine.

Feminist have a right to act however they want, na dunia ya gender roles inaisha sasa.
 
😂
Ukichana na "The Habib Show" kuna akina "West Coast Production" wazee wa oiled biga$$ 😂
Zamani nilikua nasikia hii recording studio ya WCP inamilikiwa na Dr Dre.

Ila jamaa ndo walikua wanaweza porn wale, nna muda mrefu sijafuatilia ila enzi hizo kina Nyomi banxx na yule mwenzie nmesahau jina, walijua kutuburudisha, highschool enzi hizo unakodi simu kuangalia porn, daaah
 
Zamani nilikua nasikia hii recording studio ya WCP inamilikiwa na Dr Dre.

Ila jamaa ndo walikua wanaweza porn wale, nna muda mrefu sijafuatilia ila enzi hizo kina Nyomi banxx na yule mwenzie nmesahau jina, walijua kutuburudisha, highschool enzi hizo unakodi simu kuangalia porn, daaah
Hao jamaa walikuwa serious na kazi yao ya kupeleka moto 😂
 
Hapo ndio utajua kuna ndoa na kuna kimada tu wa kumtumia
Una mahusiano miaka 8 utakuta kila mmoja ana kwake au hata kama mnaishi pamoja lakini kama hakuna ndoa ile heshima ya kuwa mke au mme hakuna
Kila mmoja ana maisha ya pekee
Ila sasa kazi inakuja kwenye kuishi kama mke na mme ndio shughuli maana ni maisha ya uhalisia

Vijana mkipata msichana msiwachezee kajitambulisheni kwa wazazi na muwaoe badala ya kuwaweka vimada maana utakuta na yeye ana mwingine na wewe una mwingine

Ila mbadilike unaishije na mwanamke hata wazazi wake huwajui, halafu unakuta wengine wanajua jina la kwanza tu
Kuna maajabu sana katika maisha yenu
 
Sio kweli kwamba walidumu miaka nane. Umeweka hiyo ili kukoleza chai yako.

Kuachana ghafla kunawakuta sana watu waliojuna kwa muda mfupi, miezi miwili-mitatu au mwaka na walikosa muda wa kutosha wa kuspend pamoja ili kujua tabia za ndani.

Niliwahi kuwa na dada mmoja hivi. Nikiwasiliana naye kwa simu na outing alikuwa anavutia vibaya sana. Na kulikuwa na watu wengi waliovutiwa naye. Mtu mjinga angeweza kutangaza hata ndoa kesho. Lakini nilipomlazimisha kukaa naye karibu hata kulala naye wiki, nilikuja kujua ni bogus aliyesoma. Buzi nikakata kamba
 
Back
Top Bottom