Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

Mkuu ukisoma biblia kwa namna hiyo utaishia kupotosha watu soma mpaka mstari wa 6 "1 Kor 7: 1-6", hayo ni mawazo ya paulo katika kupunguza zinaa na siyo amri.

Na kumbuka kuwa ilikuwa wakati huo:

Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri.
1 Kor 7:6 SUV

But I am saying this as a concession, not as a command.
1 Corinthians 7:6 AMP

Wakati huu kwenye wimbi la wanawake kuwa wengi, kama una mudu kuhudumia si vibaya kuwa na mke zaidi ya mmoja.
Haya pia ni mawazo ni si amri.
 
Karibu usilimu nitakutafutia na jina zuri la kiislam
 
Ni wapi Kristo alikataza mkuu kuoa wake wengi?
 
Mzee Mwinyi alisema mke mmoja anasababisha BP bure!

Ila ukweli ni kuwa uislamu unayaishi maisha ya manabii na mitume wa Mungu, Suleiman na Daudi hawakuipiga kufuli miili yao ilipodemand kipozeo still Mungu hakuwachukia

kama mtu anataka wake wengi abadili dini tu awe muislam akaoe hao wake 4.

uislam wenyewe umeweka masharti ya kuoa wake wa nne,sasa jambo likiishakuwa na masharti tayari halina raha hilo ni kifungo tayari.

kwa maisha yalivyo siku hizi unaoa wake wanne,ili uzae watoto 8 walishwe na nani???au ndio mashindano ya kuijaza dunia yenye masikini 99.99%??
 
Ni wapi Kristo alikataza mkuu kuoa wake wengi?

1 wakorinto 7

hapa hakuwa anazungumzia nyege baada ya wewe kuoa,kimsingi alirenga ngono za horela,akasema kwa misingi ya ndoa basi kila mtu ajitwalie mke na mume mmoja.

kama mke mmoja hakutoshi hata 3 utawazoea baada ya siku 90 utaanza upuuzi ule ule,ngono hazinaga sababu za msingi zaidi ya tamaa tu.
hao waislam wameagizwa kuoa wake 2.3.4 kama wakitaka,hawaoi wanaishua 1 embu chunguza kama wanatoboka makalio kwa kufanya hivyo.
 
Hayo mambo yamekua kama fasheni skuizi
unaombwa mchango hata kama huna kipato, kisa watu wanataka kuoana yani wamefanya kuoana kuonekane kugumu mno
 
Hili ni suala la kiuwezo tu, na maamuzi ya waoanaji. Unaweza kutoka kanisani ukawa tayari umekuwa mwili mmoja. Hizo sherehe siyo Lazima ila zingine zinakuja kwakuwa tunaishi in abundance.

Au sometime showoff.
Tatizo linakuja pale mtazamo wa jamii unapofanya vijana waone hayo mambo ni magumu kwahiyo inawakatisha tamaa hata ya kupata mwenza ambae wanaweza kuelewana wakafunga ndoa simple... na wakati mwingine ukikimbia harusi unakutana na mahari ya mil7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…