Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi situmii. Ila kwa sasa watumiaji ni wengi kuliko kawaida. Kuna msanii mmoja yule wa tabata huwa ni teja kabisa wa mundende. Kuna jamaa yangu ndio huwa anampelekeagaWewe si ndio balozi wa mundende?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi situmii. Ila kwa sasa watumiaji ni wengi kuliko kawaida. Kuna msanii mmoja yule wa tabata huwa ni teja kabisa wa mundende. Kuna jamaa yangu ndio huwa anampelekeaga
Muongo mimi ambae situmii au huyo fundi wa kuimba kutoka tabata?Muongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muongo mimi ambae situmii au huyo fundi wa kuimba kutoka tabata?
Mkuu ukisoma biblia kwa namna hiyo utaishia kupotosha watu soma mpaka mstari wa 6 "1 Kor 7: 1-6", hayo ni mawazo ya paulo katika kupunguza zinaa na siyo amri.Wakristo Sio wayahudi.
1 Wakorintho 7
Neno: Bibilia Takatifu
Kuhusu Ndoa
7 Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe. 2 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
Nimewahi kujaribu mara moja tu(curiosity), Ila king ameshakua addicted kabisa.Wewe, wala usimngizie king [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimewahi kujaribu mara moja tu(curiosity), Ila king ameshakua addicted kabisa.
Tuachane na hayo, nina kesi na wewe.
Mie ombi langu 3some ziruhusiwe ndoani....kesho tu natafuta mwanamke awe mke mwenzanguWacha wale jeuri yao bwana....wana nyodo sana wakiwa bado wabichi.
Hapa ni mwendo wakuzalisha single mama tuu mpaka atie akili
Karibu usilimu nitakutafutia na jina zuri la kiislamMkuu upo sahahi 100% hapo wakristo tulipigwa na kitu kizito na hapa tu ndo waislam Huwa nawapendea.
Mimi napenda kudinya kila siku lakini wife akinipa siku moja basi ujue kupewa Tena Hadi siku 3 zipite au zaidi yaani sometime Hadi nitie ubabe ndo naweza mkaza walau siku 2 mfululizo.
Hii Kwa wenzetu ukipiga hapa Leo, kesho Kwa bimdogo yaani ni kufanya rotation Hadi Raha.
Sometime Huwa nafikilia niwe muisalamu tu Kwa ajili ya hii kitu na kupiga nje sijui Kwa Nini sipendelei sana.
Hahaha aise...sasa husband asipompenda huyo mwanamke itakuwajeMie ombi langu 3some ziruhusiwe ndoani....kesho tu natafuta mwanamke awe mke mwenzangu
Ntatafuta mwingineHahaha aise...sasa husband asipompenda huyo mwanamke itakuwaje
Hatari ..aise mume wako atafaidi sana balaaa yaani full burudani ndani ya nyumba....unachomoa hapa unadumbukiza hapa😍😍😍😍😍Ntatafuta mwingine
Ni wapi Kristo alikataza mkuu kuoa wake wengi?Solomon,Musa na hao wengn uliowataja hawakua WAKRISTO. Misingi ya Kikristo umewekwa na Kristu mwenyewe ambao kakataza mume kua na wake wengi! Ko ukitaka WAKRISTO waoe wake wengi UnamAanisha wasiiwe WAKRISTO Tena kwa maana hawajafuata maagizo ya Kristu mwenyewe.
Mzee Mwinyi alisema mke mmoja anasababisha BP bure!
Ila ukweli ni kuwa uislamu unayaishi maisha ya manabii na mitume wa Mungu, Suleiman na Daudi hawakuipiga kufuli miili yao ilipodemand kipozeo still Mungu hakuwachukia
Ni wapi Kristo alikataza mkuu kuoa wake wengi?
Hayo mambo yamekua kama fasheni skuiziHoja yako ina mashiko hasa ukizingatia hiyo mil 25+ inachangwa na jamii nzima ambayo maharusi wamewahi kujuana nayo! Ndoa inapaswa kuwa ni jukumu la muoaji na ikibidi basi iwe ni familia yake kwa ukaribu kabisa. Sio mambo ya kufanya kama mnatengenza show na kiingilio ni kiasi kadhaa! khaaa! double kuna kiwango chake, single kuna kiwango chake. Tunayataka makubwa na hatuyawezi, huu ni udhalili wa hali ya juu kabisa. Mentality ya kijinga kabisa hii ya kupenda makubwa kwa mfuko wa watu wengine.
Ndoa inapaswa kuwa simple so that almost everyone can afford, na tamaduni ya kwamba lazima uwe ombaomba kisa unataka kuoa iondoshwe kabisa.
Tatizo linakuja pale mtazamo wa jamii unapofanya vijana waone hayo mambo ni magumu kwahiyo inawakatisha tamaa hata ya kupata mwenza ambae wanaweza kuelewana wakafunga ndoa simple... na wakati mwingine ukikimbia harusi unakutana na mahari ya mil7Hili ni suala la kiuwezo tu, na maamuzi ya waoanaji. Unaweza kutoka kanisani ukawa tayari umekuwa mwili mmoja. Hizo sherehe siyo Lazima ila zingine zinakuja kwakuwa tunaishi in abundance.
Au sometime showoff.