Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
1 Kor 7 : 1 - 6. Huyo si Yesu. Kuwa makini kwenye usomaji wako wa biblia1 wakorinto 7
hapa hakuwa anazungumzia nyege baada ya wewe kuoa,kimsingi alirenga ngono za horela,akasema kwa misingi ya ndoa basi kila mtu ajitwalie mke na mume mmoja.
kama mke mmoja hakutoshi hata 3 utawazoea baada ya siku 90 utaanza upuuzi ule ule,ngono hazinaga sababu za msingi zaidi ya tamaa tu.
hao waislam wameagizwa kuoa wake 2.3.4 kama wakitaka,hawaoi wanaishua 1 embu chunguza kama wanatoboka makalio kwa kufanya hivyo.
Njooni kwenye UislamuHata wakiruhusu hawataoa
ndoa ya kikristo garama sana
juzi kuna sherehe tumefanya ya mil 25+ mimi kama mwanakamati nikawaza tunasafari ndefu sana mpaka kuolewa
Si kwamba malaika bali ili kukuonesha kuwa kuoa wake wawili si dhambi kama ulivyo aminishwa.Sasa huyo Suleiman mnayemtolea mfano kila Siku ndio alikuwa malaika au
Hivi hujui suleimani alikuwa nani kweli?Sasa huyo Suleiman mnayemtolea mfano kila Siku ndio alikuwa malaika au
1 Kor 7 : 1 - 6. Huyo si Yesu. Kuwa makini kwenye usomaji wako wa biblia
Ni Paulo akitoa mawazo yake kuhusu kupunguza zinaani nani huyo??
Hivi hujui suleimani alikuwa nani kweli?
Ni Paulo akitoa mawazo yake kuhusu kupunguza zinaa
Sijasema asisikilizwe.kwanini asisikilizwe!!!
Sijasema asisikilizwe.
Atakaye chagua kumsikiliza na amsikilize kwa sababu si kosa.
Atakaye chagua kutomsikiliza yuko sawa nalo si kosa.
Kwahiyo usitumie mawazo hayo kama sheria, ama usizuie watu kuoa wake wengi kwa kutumia mawazo hayo.
Hivi unafahamu kwamba hao wafalme na manabii wa Mungu mfano Suleman na baba yake Daudi waliua watu wengi sana katika utawala wao, Mungu aliwaruhusu hilo na ndio kwanza akazidi kuwapenda na kuwabariki, kwahiyo mnataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena sababu hao walifanya na Mungu akazidi kuwabarikiSi kwamba malaika bali ili kukuonesha kuwa kuoa wake wawili si dhambi kama ulivyo aminishwa.
Bali kama unao uhitaji wa kufanya hivyo na uwezo wa kumudu gharama "OA"
Wote hao walikuwa ni wajumbe wa Mungu lakini pia wote walikuwa binadamu, sasa msichague maandiko kwamba la huyu lilikuwa sahihi ya huyu hapana kwa sababu tu la huyu linawafavour ila ya huyu haliko upande wenu, hata Suleman alikuwa binadamu kama ninyi tuHivi hujui suleimani alikuwa nani kweli?
Karibu usilimu nitakutafutia na jina zuri la kiislam
hakuna sehemu palipoandikwa kwamba ni kosa kuoa mke zaidi ya mmoja,swala ni kwamba hutafungishwa ndoa hizo kanisani.
Nimeelewa jambo moja kutoka kwako hujui kanisa lilipo, ukifunguka ukafahamu kanisa lipo wapi wala hautakaza shingo kwa mambo madogo kama haya.ila mmoja tu uliyemuolea madhabahuni ndiye halali machoni kwa Mungu
Sijaona point yako bado, hapo umemwelezea sulemani ambae si lengo madaHivi unafahamu kwamba hao wafalme na manabii wa Mungu mfano Suleman na baba yake Daudi waliua watu wengi sana katika utawala wao, Mungu aliwaruhusu hilo na ndio kwanza akazidi kuwapenda na kuwabariki, kwahiyo mnataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena sababu hao walifanya na Mungu akazidi kuwabariki
Hivi unajua kuwa Suleman alipooa wake wengi akafikia hatua akamchukiza Mungu hadi Mungu akaamua kumpa adhabu ya kuugawanya ufalme wake na kumpa kijakazi wake
Na mwisho wa siku baada ya kufanya hayo yote akaandika kitabu cha Mithali, ambacho baadhi ya maandiko humo ni majuto kutoka kwake akielezea kwamba alikuja kugundua kuwa yale yote yalikuwa ni ubatili mtupu na kujilisha upepo, na Mungu alimruhusu na kumpa kila kitu kwa makusudi ili aje ajionee kwamba unaweza kuwa na kila kitu unachokitaka hapa duniani na bado ukakosa hiyo raha na amani unayodhani utaipata
Nimeelewa jambo moja kutoka kwako hujui kanisa lilipo, ukifunguka ukafahamu kanisa lipo wapi wala hautakaza shingo kwa mambo madogo kama haya.
"Yani kwa akili yako ndoa ili iwe ndoa iliyokubaliwa na Mungu lazima ifanyike mbele ya mchungajia ama padri".
Hayo mawazo yako si kweli.
Ndoa inakuwa ndoa baada ya wawili na familia zao kukubaliana hao wengine ni watazamaji tu.
Ni wapi Kristo alikataza mkuu kuoa wake wengi?
Yalete hapaKwenye maandiko matakatifu
Sasa mbona uliquote comment yangu iliyokuwa inamuongelea Suleiman, point ipo sababu wanaume wengi ukiwemo na wewe ni kama vile Suleiman ndio role model wenu kila linapoongelewa suala la kuwa na wake wengi ni lazima mumtolee mfano directly au indirectly eti kisa yeye Mungu alimruhusu na akambariki, sasa ndio mjue kuwa hata kuua pia Mungu alimruhusu na akazidi kumbariki lakini tunaambiwa kuua ni dhambiSijaona point yako bado, hapo umemwelezea sulemani ambae si lengo mada