Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

1 wakorinto 7

hapa hakuwa anazungumzia nyege baada ya wewe kuoa,kimsingi alirenga ngono za horela,akasema kwa misingi ya ndoa basi kila mtu ajitwalie mke na mume mmoja.

kama mke mmoja hakutoshi hata 3 utawazoea baada ya siku 90 utaanza upuuzi ule ule,ngono hazinaga sababu za msingi zaidi ya tamaa tu.
hao waislam wameagizwa kuoa wake 2.3.4 kama wakitaka,hawaoi wanaishua 1 embu chunguza kama wanatoboka makalio kwa kufanya hivyo.
1 Kor 7 : 1 - 6. Huyo si Yesu. Kuwa makini kwenye usomaji wako wa biblia
 
Hata wakiruhusu hawataoa
ndoa ya kikristo garama sana
juzi kuna sherehe tumefanya ya mil 25+ mimi kama mwanakamati nikawaza tunasafari ndefu sana mpaka kuolewa
Njooni kwenye Uislamu

Tunatandika mkeka plus tende robo kilo na maji chupa za miatano tushamaliza harusi kila mtu kwake maisha yanaanza

Simple like this
 
Sijasema asisikilizwe.

Atakaye chagua kumsikiliza na amsikilize kwa sababu si kosa.

Atakaye chagua kutomsikiliza yuko sawa nalo si kosa.

Kwahiyo usitumie mawazo hayo kama sheria, ama usizuie watu kuoa wake wengi kwa kutumia mawazo hayo.

hakuna sehemu palipoandikwa kwamba ni kosa kuoa mke zaidi ya mmoja,swala ni kwamba hutafungishwa ndoa hizo kanisani.

so kama unakwenda kuolea mahakamani huko wake wote 17 hamna shida,ila mmoja tu uliyemuolea madhabahuni ndiye halali machoni kwa Mungu.

suleimani alijipimia 700,akajiongeza na vimada 300,hakukuwa na shida kabisa na wala hakuna aliyelalamika.
 
Si kwamba malaika bali ili kukuonesha kuwa kuoa wake wawili si dhambi kama ulivyo aminishwa.

Bali kama unao uhitaji wa kufanya hivyo na uwezo wa kumudu gharama "OA"
Hivi unafahamu kwamba hao wafalme na manabii wa Mungu mfano Suleman na baba yake Daudi waliua watu wengi sana katika utawala wao, Mungu aliwaruhusu hilo na ndio kwanza akazidi kuwapenda na kuwabariki, kwahiyo mnataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena sababu hao walifanya na Mungu akazidi kuwabariki

Hivi unajua kuwa Suleman alipooa wake wengi akafikia hatua akamchukiza Mungu hadi Mungu akaamua kumpa adhabu ya kuugawanya ufalme wake na kumpa kijakazi wake

Na mwisho wa siku baada ya kufanya hayo yote akaandika kitabu cha Mithali, ambacho baadhi ya maandiko humo ni majuto kutoka kwake akielezea kwamba alikuja kugundua kuwa yale yote yalikuwa ni ubatili mtupu na kujilisha upepo, na Mungu alimruhusu na kumpa kila kitu kwa makusudi ili aje ajionee kwamba unaweza kuwa na kila kitu unachokitaka hapa duniani na bado ukakosa hiyo raha na amani unayodhani utaipata
 
Hivi hujui suleimani alikuwa nani kweli?
Wote hao walikuwa ni wajumbe wa Mungu lakini pia wote walikuwa binadamu, sasa msichague maandiko kwamba la huyu lilikuwa sahihi ya huyu hapana kwa sababu tu la huyu linawafavour ila ya huyu haliko upande wenu, hata Suleman alikuwa binadamu kama ninyi tu
 
hakuna sehemu palipoandikwa kwamba ni kosa kuoa mke zaidi ya mmoja,swala ni kwamba hutafungishwa ndoa hizo kanisani.

ila mmoja tu uliyemuolea madhabahuni ndiye halali machoni kwa Mungu
Nimeelewa jambo moja kutoka kwako hujui kanisa lilipo, ukifunguka ukafahamu kanisa lipo wapi wala hautakaza shingo kwa mambo madogo kama haya.

"Yani kwa akili yako ndoa ili iwe ndoa iliyokubaliwa na Mungu lazima ifanyike mbele ya mchungajia ama padri".

Hayo mawazo yako si kweli.

Ndoa inakuwa ndoa baada ya wawili na familia zao kukubaliana hao wengine ni watazamaji tu.
 
Hivi unafahamu kwamba hao wafalme na manabii wa Mungu mfano Suleman na baba yake Daudi waliua watu wengi sana katika utawala wao, Mungu aliwaruhusu hilo na ndio kwanza akazidi kuwapenda na kuwabariki, kwahiyo mnataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena sababu hao walifanya na Mungu akazidi kuwabariki

Hivi unajua kuwa Suleman alipooa wake wengi akafikia hatua akamchukiza Mungu hadi Mungu akaamua kumpa adhabu ya kuugawanya ufalme wake na kumpa kijakazi wake

Na mwisho wa siku baada ya kufanya hayo yote akaandika kitabu cha Mithali, ambacho baadhi ya maandiko humo ni majuto kutoka kwake akielezea kwamba alikuja kugundua kuwa yale yote yalikuwa ni ubatili mtupu na kujilisha upepo, na Mungu alimruhusu na kumpa kila kitu kwa makusudi ili aje ajionee kwamba unaweza kuwa na kila kitu unachokitaka hapa duniani na bado ukakosa hiyo raha na amani unayodhani utaipata
Sijaona point yako bado, hapo umemwelezea sulemani ambae si lengo mada
 
Nimeelewa jambo moja kutoka kwako hujui kanisa lilipo, ukifunguka ukafahamu kanisa lipo wapi wala hautakaza shingo kwa mambo madogo kama haya.

"Yani kwa akili yako ndoa ili iwe ndoa iliyokubaliwa na Mungu lazima ifanyike mbele ya mchungajia ama padri".

Hayo mawazo yako si kweli.

Ndoa inakuwa ndoa baada ya wawili na familia zao kukubaliana hao wengine ni watazamaji tu.

ndoa sio jambo dogo.ndio maana unalirahisisha kwamba inawezekana kabisa wewe kuwa na wake 7 ila sio sawa mkeo kuwa na wanaume 7.ukiulizwa utaleta siasa mambo ya nature ya maumbile hapa.

maana ya neno ndoa takatifu ndio hiyo,hizo ndoa za mkeka na ndoa za mahakamani nazo zina jina lake.
 
Sijaona point yako bado, hapo umemwelezea sulemani ambae si lengo mada
Sasa mbona uliquote comment yangu iliyokuwa inamuongelea Suleiman, point ipo sababu wanaume wengi ukiwemo na wewe ni kama vile Suleiman ndio role model wenu kila linapoongelewa suala la kuwa na wake wengi ni lazima mumtolee mfano directly au indirectly eti kisa yeye Mungu alimruhusu na akambariki, sasa ndio mjue kuwa hata kuua pia Mungu alimruhusu na akazidi kumbariki lakini tunaambiwa kuua ni dhambi
 
Back
Top Bottom