Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Kaka mkubwa leo umeandika kwa jazba! [emoji38]
 
Pamoja na wingi huo bado tunawaliza, mmekuwa majoka ya kibisa, mna nguvu akili na mamlaka nje tu humo ndani mnachapika haswa
Pumba tu[emoji38] hakuna mwanaume mwenye mamlaka then akawa lofa kwa mkewe hayupooooooo. Azawais ubadilishe statement yako.
Hivi unaelewa maana ya mamlaka kwanza?[emoji848]
 
Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.

Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Mkuu pole sana! Yaani wanawake sijui wamekumbwa na nini aisee! Hizi kesi za kudharau waume mara kipato kinaposhuka miranda kila kona! Hapo mwamba huna mke, anakunyima ili akagawe nje si ndiyo? Piga chino hiyo kiumbe, mtoto miaka 10 huyo kisheria unakabidhiwa kabisa. Ustawi wa jamii huwa wanazuia kama mtoto yuko miaka 7 kushuka chini. Achana na huyo mama maslahi atakuwa kwa sonona bure!😁😁😁😂😂😂
 
Wewe jamaa unalia mtoto mmoja wenzio unaachana ukiwa na watoto 6 .haya chagua uhai.mtoto au jela chagua moja
 
Acha uboya unashindwaje kuchukua maamuzi magum kwa kuhofia mtoto unakubalije kushikiria kaa la Moto linakuchoma huku ukisema navumilia unapotaka kufanya jambo usiangalie wewe toa tuu
 
Si bora apate huyo anayetembea na baba yake mzazi. Amuache tu why tuchoshane bhana... maisha mafupi haya
 
Naona unajitahidi kumkumbatia nungu nungu kwa kila style 🤣🤣🤣 ila miba haikuachi salama!!!

Temana na huyo pimbi mzee utakujaga kukata moto chalyangu. Hao wanawake mnaookotaga kwa kigezo cha kazi ndio wana mabalaa sana mkiachishwa kazi.
 
Ww ni mtoto wa mitaani!!??
ama ulilelewa na single mother!?
una wazazi!?
Jibu hapo kwanza
 
Mwanamke akishajua wee Ni mafia,
Huna hofu yoyote kuachana nae ananyooka
Wanawake Wafundi sn kucheza na madhaifu yetu
Eeh mwanamke akijua hutanii hawezi kuleta sinema zake🤣 ila akikuona boya anakuendesha kama gari bovu
 
Kun Faya Kun 🤣🤣🤣
 
Hahahahah huyu jamaa kila nikimuwaza naona inanijia picha ya benpol, mshkaji yuko so mushy yani mlaini sana ndio maana yule mkikuyu aliona kama yuko na shosti yake tu 🤣🤣🤣 akamfurusha toka penzini.
 
Ngoja nikupe siri ya watu wa kilimanjaro siyo kupenda ndiyo maana ningumu kukuta watoto wa mitaani labda wawe wakuja ila siyo mzawa.Huwa tunajali sana watoto asilimia kubwa
Mke wako ni mtu wa wapi???mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…