mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Kaka mkubwa leo umeandika kwa jazba! [emoji38]Wanawake sjui huwa wakoje,
Yaan kutoa Ela ya kula siku mbili tatu,
Nae tayar keshajiona ni mwanaume ndan ya nyumba, anapandisha mabega.
UKINIFANYIA HIVO, NAWEZA VUMILIA YAPITE, KAMA UJAVUKA SANA MIPAKA.
ILA JUA NAMI NIKIZIPATA,HAKUNA RANGI UTAACHA KUONA,Kudaddeq[emoji3525]