Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Wanawake sjui huwa wakoje,
Yaan kutoa Ela ya kula siku mbili tatu,
Nae tayar keshajiona ni mwanaume ndan ya nyumba, anapandisha mabega.
UKINIFANYIA HIVO, NAWEZA VUMILIA YAPITE, KAMA UJAVUKA SANA MIPAKA.
ILA JUA NAMI NIKIZIPATA,HAKUNA RANGI UTAACHA KUONA,Kudaddeq[emoji3525]
Kaka mkubwa leo umeandika kwa jazba! [emoji38]
 
Pamoja na wingi huo bado tunawaliza, mmekuwa majoka ya kibisa, mna nguvu akili na mamlaka nje tu humo ndani mnachapika haswa
Pumba tu[emoji38] hakuna mwanaume mwenye mamlaka then akawa lofa kwa mkewe hayupooooooo. Azawais ubadilishe statement yako.
Hivi unaelewa maana ya mamlaka kwanza?[emoji848]
 
Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.

Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Mkuu pole sana! Yaani wanawake sijui wamekumbwa na nini aisee! Hizi kesi za kudharau waume mara kipato kinaposhuka miranda kila kona! Hapo mwamba huna mke, anakunyima ili akagawe nje si ndiyo? Piga chino hiyo kiumbe, mtoto miaka 10 huyo kisheria unakabidhiwa kabisa. Ustawi wa jamii huwa wanazuia kama mtoto yuko miaka 7 kushuka chini. Achana na huyo mama maslahi atakuwa kwa sonona bure!😁😁😁😂😂😂
 
Wewe jamaa unalia mtoto mmoja wenzio unaachana ukiwa na watoto 6 .haya chagua uhai.mtoto au jela chagua moja
 
Acha uboya unashindwaje kuchukua maamuzi magum kwa kuhofia mtoto unakubalije kushikiria kaa la Moto linakuchoma huku ukisema navumilia unapotaka kufanya jambo usiangalie wewe toa tuu
 
Pesa ya mwanaume kwa mwanamke ni SECURITY. Mkeo hajisikii kuwa salama; yeye na mwanae pia so reaction yake ni panick!

Acha kutaka kuvunja ndoa kwa mambo madogo. Vingine ni vya kuelewa tu na kuacha vipite. Kwani utakosa hela kila siku?

Wanaume wa sasa fragile sana, kidogo mnataka kukimbia. Yaani una family nzuri unataka kuivunja kisa mnuno wa mke? Ukipata anayetembea hata na baba yako mzazi si utajiua wewe!
Si bora apate huyo anayetembea na baba yake mzazi. Amuache tu why tuchoshane bhana... maisha mafupi haya
 
Naona unajitahidi kumkumbatia nungu nungu kwa kila style 🤣🤣🤣 ila miba haikuachi salama!!!

Temana na huyo pimbi mzee utakujaga kukata moto chalyangu. Hao wanawake mnaookotaga kwa kigezo cha kazi ndio wana mabalaa sana mkiachishwa kazi.
 
Kwanini sitaki kuoa
1: Ndoa ni gereza ukitoka kidogo unatafutwa au kuitwa uko wapi
2: Ndoa ni kitendo cha kumkaribisha mtu atoke kwao aje kwako kumaliza hela zako
3: Ndoa ni utapeli unamuoa mtu mpate watoto wa yeye na wewe anaanza kukupangia (leo sijiskii) wakati bila Ndoa hakuna anayekupangia

Bado mpaka sasa sioni cha kubadilisha msimamo wangu
Ww ni mtoto wa mitaani!!??
ama ulilelewa na single mother!?
una wazazi!?
Jibu hapo kwanza
 
Mwanamke akishajua wee Ni mafia,
Huna hofu yoyote kuachana nae ananyooka
Wanawake Wafundi sn kucheza na madhaifu yetu
Eeh mwanamke akijua hutanii hawezi kuleta sinema zake🤣 ila akikuona boya anakuendesha kama gari bovu
 
Wanawake sjui huwa wakoje,
Yaan kutoa Ela ya kula siku mbili tatu,
Nae tayar keshajiona ni mwanaume ndan ya nyumba, anapandisha mabega.
UKINIFANYIA HIVO, NAWEZA VUMILIA YAPITE, KAMA UJAVUKA SANA MIPAKA.
ILA JUA NAMI NIKIZIPATA,HAKUNA RANGI UTAACHA KUONA,Kudaddeq[emoji3525]
Kun Faya Kun 🤣🤣🤣
 
Solution sio kumuacha,
Ni kumfanyia kitendo Cha kijasiri Kama unamuacha,anajuta na kunyooka kabisa.

Unahakikisha ulichomfanyia kamwe hatorudia Tena kukutest mitambo.

Watoto wataumia kwa MDA mfupi,
Ila itakusaidia Sana baadae asikusumbue

Don't be too nice guy,
sometimes act taleban, no matter what
Usiwe mwanaume wa kutabirika tabirika
Hahahahah huyu jamaa kila nikimuwaza naona inanijia picha ya benpol, mshkaji yuko so mushy yani mlaini sana ndio maana yule mkikuyu aliona kama yuko na shosti yake tu 🤣🤣🤣 akamfurusha toka penzini.
 
Ngoja nikupe siri ya watu wa kilimanjaro siyo kupenda ndiyo maana ningumu kukuta watoto wa mitaani labda wawe wakuja ila siyo mzawa.Huwa tunajali sana watoto asilimia kubwa
Mke wako ni mtu wa wapi???mkuu
 
Back
Top Bottom