Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Hata mambo eti ya vikao vya usuluhishi sitaki kabisa. Ukileta ngebe tembea atakuja mwenzako. Pisi nyingi siku hizi wako wengi wanataka hiyo vacancy.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Iko hivyo.
Mwanaume tayari unawatoto trnacwawili alafu bado unakuwa legelege, hivi hao Watoto utaweza kweli kuwalea
 
Ninachowapendea Wanawake, hawakupigi Kwa ngumi au makofi Ila kipigo Chao utaita maji MMA! 😂😂😂

Alafu wakianza kukupiga usije fikiri ATI watakuonea huruma. Wanawake hawanaga huruma wakishakuchukia, utapigwa mpaka ukome.
Wanajua namna ya kumpa MTU maumivu makali ya nafsi
Na hapo ndo huwa tunachukua point zote muhimu mnabaki kugalagala,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba jamaa Kazama.
Alafu anasingizia Watoto.
Ngoja nikupe siri ya watu wa kilimanjaro siyo kupenda ndiyo maana ningumu kukuta watoto wa mitaani labda wawe wakuja ila siyo mzawa.Huwa tunajali sana watoto asilimia kubwa
 
Mwanaume ukiwa too nice kwny familia na MKE, Kuna MDA anakuona bwege kwake hupindui.

Ukianza kupitia madhira yeye hajali,
Kwake Ni furaha maana anapata cha kutamba uko kwa wanawake wenzie.

Binafs
huwa sitoi nafas Kama hizo kwa wife,
Akijaribu kuinua kisauti, anakutana na mkono wa chuma, anatuliza mshono.
 
"Hilo ni jaguo lakooo, chaguo lakooo*2"
Hata kama ni korofi, chaguo lakoooo
Hata kama ni mbishi, chaguo lakooo.
Walisikika wadau wakiimba.
Anyways, maturity ya mwanaume ni pamoja na uwezo wake wa kutatua changamoto. Tuliza akili, na wala usimwache.
 
Ninachowapendea Wanawake, hawakupigi Kwa ngumi au makofi Ila kipigo Chao utaita maji MMA! [emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu wakianza kukupiga usije fikiri ATI watakuonea huruma. Wanawake hawanaga huruma wakishakuchukia, utapigwa mpaka ukome.
Wanajua namna ya kumpa MTU maumivu makali ya nafsi
Nnachokiona kwa mtoa mada,
Mkewe hajamchukia, Bali anamtikisa kibiriti
Jama akilegea Basi Ndo amekwisha
 
Pesa ni kichocheo cha mapenzi.
Lakini haimaanishi MTU ukiwa na Pesa ATI Mwanamke ndio hatakuendesha kama ukiwa mwanaume bwege
Mwanamke ukiwa huna pesa anangalia harakati zako je huwa za matumaini yani leo huna je kesho upo uwezekano ukapata pesa siyo unakosa pesa unajifungia ndani na mkeo mnaanza jilizaliz toka nenda hata kapige misele rudi na story za uongo uongo amini kesho ipo
 
Mwanamke ukiwa huna pesa anangalia harakati zako je huwa za matumaini yani leo huna je kesho upo uwezekano ukapata pesa siyo unakosa pesa unajifungia ndani na mkeo mnaanza jilizaliz toka nenda hata kapige misele rudi na story za uongo uongo amini kesho ipo
[emoji1787]sijakaaa kiboya saana nina kijuwe cha kuuza culture town mm siyo mtu wa hm kabisa mkuu
 
Mnaonyimwa unyumba ndoani, mko wengi sana mngeanzisha tu chama chenu. Kama wale wanaopigwa na wake zao.
Huyo mapenzi nawewe hana, hata mwanzo alikuwa akikupea kwa huruma na vihela vyako. Sasa hela haioni na hakuna rangi utaacha ona.
Hakuna huruma hapo.Maana huku nje mapenzi yapo kibao ila ukiwaza family unatemana nayo lakini unarudi ndani tena ndiyo ivyo ndiyo nazidi kuamini HIV kwa waliopo ndani ya ndoa ni rahisi sana kupata maambukizi kwasababu ukijaribu kutumia tu hasira biashara imekwisha.
 
Kisa Cha mtoa mada Imenikumbusha
kisa flani na wife, Ndoa yetu ikiwa changa,

Alitaka kuleta za kuleta, akiamini Kisingizio napenda sana watoto siwez kumuacha.

Nilichomfanyia hatosahau,
nowdays anaishi kwa tahadhar Sana,
maana anajua aliolewa na kichwa kibovu.

Akizingua namzingua afu sijali chochote
 
Mtoto sio hoja ya kushindwa kuvunja ndoa

Kama huna courage ya ku take tough decisions.Shida ni wewe

Kuna watoto ni yatima from day 1
Kuna watoto wana trauma related issues sababu ya kuwaona wazazi wao wanavyoishi..

Yaani mtoto sio kigezo kabisaaa ni mwavuli tu wakujifichia..unatakaje sasa urundike chuki mwisho wa siku umchome na gunia mbili za mkaa??huo ndo utaita uwanaume au??

Mda sasa wanaume tujifunze ubinafsi kidogo,Kama mchango wako kama baba hauthaminiki na wewe Moyo wako bila kushurutishwa na mtu unaona unateseka na hamna namna ya kusuluhisha.As a Man ,you should have balls to move on with ur life & take care of ur children, Simple..na sio kusingizia mtoto..

I agree to disagree.Mwache aende mwanamke sio property kwamba ni lazima ummiliki hadi unakufa ..
 
Mnaonyimwa unyumba ndoani, mko wengi sana mngeanzisha tu chama chenu. Kama wale wanaopigwa na wake zao.
Huyo mapenzi nawewe hana, hata mwanzo alikuwa akikupea kwa huruma na vihela vyako. Sasa hela haioni na hakuna rangi utaacha ona.

Na Mwanamke kama Hana mapenzi na wewe ni suala la muda tuu.
Vijana wanadanganyana mapenzi Pesa, wanahonga wanasahau mapenzi ni hisia. Unatoa Pesa unao Mwanamke, akishakuzoea anaanza kukuonyesha rangi zake halisi.
Nnachokiona kwa mtoa mada,
Mkewe hajamchukia, Bali anamtikisa kibiriti
Jama akilegea Basi Ndo amekwisha

Mtu ananyimwa Penzi Kwa Makusudi mpaka anapiga nyeto unasema Mwanamke anamtishia/anatingisha kiberiti.

Kwa uzoefu Mdogo nilionao, Mwanamke kama anakupenda kwelikweli hawezi kukujaribu Kwa ishu zinazoweza sababisha ukamuacha.
 
Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.

Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.

Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.

Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Sababu ya kutaka kumchukua mtoto ni nini? Mwache akae na mama.yake uwe unaenda kumuona. Baadae utamchukua.
Wewe unaogopa kuachika..hilo ndo tatizo usisingizie mtoto.
 
Nahisi kuna vitu vingi hujavisema,, Wanawake nikweli kila kitu ni mume hata kama anakipato chake kidogo,ila kama anakuheshimu na anajua hali halisi hawezi kufanya huo ujinga,kuna jambo zaidi nadhani hujalisema hapa
 
Back
Top Bottom