Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Safi sanaaa hahaaaaa nimecheka
Haiwezekani mtoto nikatike viuno mimi, mama yake ale vyangu, nihudumie mimba, kuzaliwa, nimlee, nimsomeshe kisha aje kuwa utopolo, over my dead body πŸ˜‚πŸ€£
 
Makaveli huyu huyu au mwingine?

Mashallah!. Kwa hakika mtu akibadilika, Allah atamkrimu na kumneemesha.

Hongera sana kaka na kila la kheri katika malezi ya mwanetu.
 
Serious,
Sema Kuna kitu nilinotice kisicho Cha kawaida,

kwamba uchangiaji wako kule MMU aina flan kama rythm yako imebadilika.

Zile comment ngumu ngumu hutoi Tena.

Sema nikabull shit, sikutilia Sana maanani[emoji4]
Mama kiduku aliomba nipunguze, nami sina ujanja kaka, kulala nyuma ya matako raha, nisije mkera nikaishia kulala kama nyokaπŸ˜‚
 
Makaveli huyu huyu au mwingine?

Mashallah!. Kwa hakika mtu akibadilika, Allah atamkrimu na kumneemesha.

Hongera sana kaka na kila la kheri katika malezi ya mwanetu.
Ndio mimi kaka..

Shukrani kaka
Amin ndugu yangu.
 
Mimi nikupe pole mkuu kwasababu hamna kulala tena wala privacy tena, aliyekuja ndo faza house. Hongereni sana πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘¦πŸ‘ͺπŸ‘ͺ
 
Lakini Tangazo aliloandika Huyu 2pac limesukwa sijawai kuona
 
Jf hii hii mkuu!??

Aisee hongera sana, nadhani waliokufata wengi ni wasomaji na sio wachangiaji, maana wachangiaji wengi wa jinsia pendwa humu wao ni siredi za mwanaume pesa, mikuyenge, ndoa sio kipaumbele, 50/50 nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…