Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

😂😂😂😂....mi napiga wanaume...onhoo! But asante kwa kujali💋
 
Hongera mkuu kwa hyo leo haupo kwenye Uzi wetu wa FIFA

Bas mtot mpe jina la mchezaji aliyekukosha [emoji41]
Mchezaji aliyeukamata moyo wangu haswaa ni thierry Henry kichogo, ila mimi ndio muislam, kisha Zidane, kisha clatous chama, halafu wa mwisho ni mimo baba yake 😂 🤣
 
Hongera sana Kaveli, hivi mpaka ndugu yangu anapata mke, mimi sijui kabisa, uzi huo wa kumtafuta na kumpata ndio nimeupitia saa hii...

Kila lenye heri ndugu, na hongera tena kwa kupata mtoto.
Ahsante ndugu yangu.
Tatizo Jf ina vichochoro vingi kuliko hata Kinondoni, hivyo kuona wakati mwingine inakuwa si rahisi.
 
Hongera sana Kaveli, hivi mpaka ndugu yangu anapata mke, mimi sijui kabisa, uzi huo wa kumtafuta na kumpata ndio nimeupitia saa hii...

Kila lenye heri ndugu, na hongera tena kwa kupata mtoto.
Ahsante ndugu yangu.
Tatizo Jf ina vichochoro vingi kuliko hata Kinondoni, hivyo kuona wakati mwingine inakuwa si rahisi
 
Shukrani kaka.
Amin kwa duwa yako njema, atupe mwisho mwema sote.

Kwa To yeye mie nitakuwa mshenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…