Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Muite Jafari / jafoKwanza namshukuru mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabiisaa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.
Ndugu zangu, allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru mungu mama na mtoto wako salama
Kuna ndugu zangu walinipa support(kunipa moyo) kwenye jambo hili(kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote,
AKILI IKO HOVAS
Asante sana mkuu, Mungu ndiye nguzo yangu daimaMtumainie Mungu hatakuacha utane tange nyikani.
Hongera sanaKwanza namshukuru mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabiisaa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.
Ndugu zangu, allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru mungu mama na mtoto wako salama
Kuna ndugu zangu walinipa support(kunipa moyo) kwenye jambo hili(kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote,
AKILI IKO HOVAS[emoji23][emoji1787]
Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Kama nimemuelewa vizuri mkewe hatoki humu ( siyo member) ila amekutanishwa naye kupitia JF.Aisee kumbe na huyu mwamba alipata mke humu humu jf!
kweli Jf ni kisima cha mafanikio[emoji23]
Hongera kaka.
HongeraKwanza namshukuru mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabiisaa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.
Ndugu zangu, allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru mungu mama na mtoto wako salama
Kuna ndugu zangu walinipa support(kunipa moyo) kwenye jambo hili(kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote,
AKILI IKO HOVASππ€£
Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Basi tu.... wivu sina ila roho inauma....Nini babu?
Maasha AllahKwanza namshukuru mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabiisaa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.
Ndugu zangu, allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru mungu mama na mtoto wako salama
Kuna ndugu zangu walinipa support(kunipa moyo) kwenye jambo hili(kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote,
AKILI IKO HOVASππ€£
Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Ahsante.Congratulations πππ
Itabidi umuite "Jamiiforum" kwa kuuenzi mtandao pendwa uliokupatia mke.πππKwanza namshukuru mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabiisaa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.
Ndugu zangu, allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru mungu mama na mtoto wako salama
Kuna ndugu zangu walinipa support(kunipa moyo) kwenye jambo hili(kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote,
AKILI IKO HOVASππ€£
Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Amin, thumma amin kakaMaasha Allah
Allah akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake
Jibu kwa kimombo, huyo binti hajasoma shule za kayumba.... Eboh!Ahsante.
π π π π Humu peke yako ndio ulipata bahati, wengine humu hakuna wakutukubalia