Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hautafuti mke?Mtoto amefanana na nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hautafuti mke?Mtoto amefanana na nani
Sasa utanisaije? Maana cha kunisaidia unacho kama utauweka uchoyo pembeniPole babu
Nimjibie mimi kwani ulinilipia ada kwa Ras Simba?Nimeandika kama mara 3 nafuta, nikaona isiwe tabu nikakimbilia polisi kwenye lugha ya mama.
Hebu nijibie mjomba.
Thank you cocochanel akiongeza neno hapo, utachati nae wewe si unajua sisi darasa la 7 C, is the, is the zinatupiga vyenga 😂
Ngoja nikaanzishe uzi wa kutafuta mchepuko....Hautafuti mke?
😂Nimjibie mimi kwani ulinilipia ada kwa Ras Simba?
Kama uko siriaz nirushie mzigo nipige bapa moja la konyagi ndio atajuta kunifahamu....
Konyagi inajua kiinglish Malkia anasubiri daadadeki....
Shukrani kakaNaaam ..hongera sana brother
Na wewe mkuu.Mtoto amefanana na nani
Ni msomaji tu.Jf hii hii mkuu!??
Aisee hongera sana, nadhani waliokufata wengi ni wasomaji na sio wachangiaji, maana wachangiaji wengi wa jinsia pendwa humu wao ni siredi za mwanaume pesa, mikuyenge, ndoa sio kipaumbele, 50/50 nk
Shukrani mzee.
Haukuwepo dar es salaam 😒😒😒, mambo yalikuwa mengi kichwani dah! Karibu Lushoto nyumbani basi 🙂🙂🙂Nacheka comment yake.
Mimi nakuchekaje sasa?
Sema ulinibania mwaliko,sikupenda.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Bro, kila ukiandika hiki kisa nikakisoma huwa nahuzunika sana. Sijui tatizo lilikuwa nini, ila Allah awape mbadala wa kheri zaidi kila mmoja wenu.Lakini nilimbadilisha akawa anajistiri na akawa anafanya ibada na tulidumu katika ndoa miaka Saba (7) na tumejaaliwa watoto wawili ingawa nimemuacha hakuna Baya lolote wala hakuwahi kunivunjia heshima Ila sikumpenda kivile nilivyotakiwa kumpenda (hakukuwa na chemistry)
😅😅😅 Acha nilikopi nilipeleke mahala ila sio hapa jf naweza opoa😂 😂
Langu arifu, sijakopi wala nini, mie kiraka napiga maeneo yote. 😂 Hip hop ngumu kumeza fresh, boli fresh, uostadhi fresh, mtu mwema fresh, bandidu fresh, bakulutu fresh pia.
Pamoja sana wangu😂😂😂 Umetisha Sana kipenz changu
Pamoja Sana!
Aisee najongea mida hii bila shaka bado uko hapo😅😅😅😅 Ya kuchovyaaa hiii mzeee, aisee karibu maskani tupunge upepo
Mistari iliojaa vina ile ndoano chambo yake inanasa hadi papa 😂😂😂😂 😂
Langu arifu, sijakopi wala nini, mie kiraka napiga maeneo yote. 😂 Hip hop ngumu kumeza fresh, boli fresh, uostadhi fresh, mtu mwema fresh, bandidu fresh, bakulutu fresh pia.
Utatukuta na Cillah 😅😅😅Aisee najongea mida hii bila shaka bado uko hapo
Aisee hongeraaKwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.
Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto wako salama.
Kuna ndugu zangu walinipa support (kunipa moyo) kwenye jambo hili (kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote.
AKILI IKO HOVAS!😂🤣
Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Anakufaa eehSio mbaya mtoto mzuri huyo