Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Weka na namba ya kutuma pesa ya supu na mtori kwa shemeji yetu tunataka akimaliza mwezi mmoja awe amebawiri haswa muanze tena kunyanduana mpate mtoto wa pili haraka nchi ijae chap chap.
 
Ndani ya miaka 2, umetafuta mke , umempata na umemzalisha . It's true?
 
Kwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.

Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto wako salama.

Kuna ndugu zangu walinipa support (kunipa moyo) kwenye jambo hili (kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote.

AKILI IKO HOVAS!😂🤣

Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Hongera sana kiongozi, ngoja na sisi wengine tuendelee kusubiri wakati wa bwana anaweza tenda. Mi nilishaanza kukata tamaa, lakin post yako imenipa matumaini, kumbe inawezekana
 
Back
Top Bottom