makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
- Thread starter
- #321
Haiwezekani?Kwamba ulipata mke jamii forums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekani?Kwamba ulipata mke jamii forums
Nimeuliza tu pia nilisahau kukupa hongera kwa kupata mtotoHaiwezekani?
Ahsante mzee.Nimeuliza tu pia nilisahau kukupa hongera kwa kupata mtoto
[emoji3059]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa wewe hata ukitaka ubongo, mie nibaki fuvu(box) nakupa. [emoji23]
Kama wewe hutaki, sikulazimishi 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaaah!! Baada ya kunikata ndio wanifariji!! Sitakiii.
Sawa[emoji1787][emoji1787]Kama wewe hutaki, sikulazimishi [emoji23]
Huu ni ushahidi tosha umekataa mwenyewe na sio kwamba nimekunyima 😂Sawa[emoji1787][emoji1787]
Huh!! Unanitafutia sababu eeh!![emoji134][emoji134][emoji134]Huu ni ushahidi tosha umekataa mwenyewe na sio kwamba nimekunyima [emoji23]
Hapana, sikutafutii sababu ila nakwepa lawama za kukunyima! 😂Huh!! Unanitafutia sababu eeh!![emoji134][emoji134][emoji134]
Ushaninyima bwana, we haya tu[emoji24][emoji24]Hapana, sikutafutii sababu ila nakwepa lawama za kukunyima! [emoji23]
Allahumma AmeenAllah akufanyie wepesi
Kumbe inawezekana mumewangu yupo anazurura majukwaani sahiz 😂😂😂Ahsante Sophy
😂🤣 Inawezekana😂Kumbe inawezekana mumewangu yupo anazurura majukwaani sahiz 😂😂😂
Nikunyime vipi wakati mie silipii kodi wewe.. Haya njoo uchukue.Ushaninyima bwana, we haya tu[emoji24][emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongera mkuu. Napendekeza huyo mtoto aitwe Mpwayungu.
Hongera mkuu. Napendekeza huyo mtoto aitwe Mpwayungu.
Hongera sana kiongozi, ngoja na sisi wengine tuendelee kusubiri wakati wa bwana anaweza tenda. Mi nilishaanza kukata tamaa, lakin post yako imenipa matumaini, kumbe inawezekanaKwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.
Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto wako salama.
Kuna ndugu zangu walinipa support (kunipa moyo) kwenye jambo hili (kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote.
AKILI IKO HOVAS!😂🤣
Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke