Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake.
Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa mnaanza maisha kwenye chumba na sebule. Mume amerudi na mafile yake ameyaweka pembeni ya dressing table, mara mke ameyamwagia lotion bahati mbaya.
Nafasi ikiwa kubwa na mnaaminiana hata muda wa kuwaza kushika simu ya mwenza huna. Simu ni sumu kubwa ya ndoa za siku hizi. Unaiwinda ukiipata unaona massage’good night sweetie’ inakulaza macho wakati usingeiona maisha yako yangekuwa mazuri tu.