Vangigula
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 852
- 2,739
Yaani hata ningejenga nyumba ya ghorofa 10, mama msapu wangu lazima tulale chumba kimoja, kitanda kimoja.Mme na Mke wanalala vyumba tofauti??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hata ningejenga nyumba ya ghorofa 10, mama msapu wangu lazima tulale chumba kimoja, kitanda kimoja.Mme na Mke wanalala vyumba tofauti??
[emoji23] mwanaume habakikiAisee ningemvizia kila siku nikambake huyo mwanaume weee nilale peke yangu iyo kwio
Shikamoo bibi😂😂😂 kibibi
Mmezidi kutuandama sisi masikini, kama vipi tuueni basi kabisa tujue mojaKuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake.
Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa mnaanza maisha kwenye chumba na sebule. Mume amerudi na mafile yake ameyaweka pembeni ya dressing table, mara mke ameyamwagia lotion bahati mbaya.
Nafasi ikiwa kubwa na mnaaminiana hata muda wa kuwaza kushika simu ya mwenza huna. Simu ni sumu kubwa ya ndoa za siku hizi. Unaiwinda ukiipata unaona massage’good night sweetie’ inakulaza macho wakati usingeiona maisha yako yangekuwa mazuri tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hata kanisani nafasi ya masikini huchagua mwenyewe, hukaa nyuma huko tena kona ya bench. Hii humsaidia wakati wa sadaka akaweka hata karatasi ili asijulikane nani kaweka hilo karatasi.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Eti anaye mtaka mwenzie ndiye anamfuata,hii iko vizuri sana na imetuliaKuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake.
Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa mnaanza maisha kwenye chumba na sebule. Mume amerudi na mafile yake ameyaweka pembeni ya dressing table, mara mke ameyamwagia lotion bahati mbaya.
Nafasi ikiwa kubwa na mnaaminiana hata muda wa kuwaza kushika simu ya mwenza huna. Simu ni sumu kubwa ya ndoa za siku hizi. Unaiwinda ukiipata unaona massage’good night sweetie’ inakulaza macho wakati usingeiona maisha yako yangekuwa mazuri tu.
Sky una busara nyingi sana.😂😂😂 kibibi