Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Hapo mwanaume ukimsachi kwenye simu hukosi chats za wanawake kama wanne hivi

Kweli anaweza kua nao ila jiulize hua anameletea dharau mke wake? Sisi wanaume hua swala la wewe kukogogwa halitusumbui kama halitakubadirisha tabia yako na kubakia myenyekevu kwa mume ila shida ni ile dharau ambayo hua tunahisi umeipata sababu ya kupelekewa moto uko nje ya ndoa ndo hua inaleta shida.
 
Wanaosema mwanaume ni mnyanyasaji labda wao hajaolewa au kuoa au kufunga ndoa au hawajui matunzo ya mke au watoto na uchungu mwanaume anaopitia kuhakikisha familia inakula, kuvaa, na kulala. Kwa mtu aliefunga ndoa kihalali (kanisani/msikitini, sio za bomani) na anawajibika ipasavyo kwa familia na alimuamini mke wake hawezi kuona km anachofanya huyu bwana ni ukatili.

Kwa hiyo huyo mwanamke kutopokea sm Mara 16 kutoka kwa mke wake wa ndoa ndo siyo ukatili. Au huo ukatili ni kwa mwanamke pekee. Tusiendekeze kulea upuuzi kwa kigezo Cha ukatili. Huyo alitakiwa anyooshwe maana itakuwa hakukunjwa na wazazi.

Serious kweli missed call 16 with no response, MKE wa mtu tena usiku then unamtetea eti ananyanyaswa bora waachane. Hapo inatakiwa wanaachana lakini akiwa amebaki na utabulisho wa milele kwa ujinga aloufanya.
Nani kasema ndoa ya bomani sio ndoa. Ziko sawa na hizo nyingine tu
 
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
kama ume nigusa vile ..
Nani kasema ndoa ya bomani sio ndoa. Ziko sawa na hizo nyingine tu

Dini zime brain wash watu. Wanaamini ndoa ni kanisani ama msikitini tu ?

Ndoa za kimila ndio ndoa halali kwa muafrica. Hizi dini zimekuja juzi tu. Mababu zetu wapo miaka na miaka
 
Dini zime brain wash watu. Wanaamini ndoa ni kanisani ama msikitini tu ?

Ndoa za kimila ndio ndoa halali kwa muafrica. Hizi dini zimekuja juzi tu. Mababu zetu wapo miaka na miaka
Waulize hao manabii na mitume walifunga wapi ndoa. Ufunge ya kimila, kanisani au msikitini ,kama mmeoana msioendana changamoto ziko palepale.
 
Unataka uchukue nafasi ya dada yako? 😀. Asee heshimu ndoa ya mwanaume mwenzio
dada yangu akitendewa uo uhayawani lazima nishikiliwe na watu wa maximum security nafungwa pingu miguuni, mikononi na mdomoni nawekewa lile kufuli la kuzuia nisiwang'ate yan yaan familia ya marehemu shemeji yangu haitonisahau kamwe
 
Wewe kwako ni dada..ila huyo huyo mwamba ndio anamla k ambayo wewe hawez kukupa kwahiyo tulia wanandoa wayamalize..ikikuuma sana na wewe kaolewe nae il msaidiane
 
Habari wadau.

Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR

Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu

Tazameni video ya tukio

Mm naona mwanaume ana hasira mbaya ila mwanamke ana makosa ndo mana hawez ht kubisha
 
Back
Top Bottom