Wanaosema mwanaume ni mnyanyasaji labda wao hajaolewa au kuoa au kufunga ndoa au hawajui matunzo ya mke au watoto na uchungu mwanaume anaopitia kuhakikisha familia inakula, kuvaa, na kulala. Kwa mtu aliefunga ndoa kihalali (kanisani/msikitini, sio za bomani) na anawajibika ipasavyo kwa familia na alimuamini mke wake hawezi kuona km anachofanya huyu bwana ni ukatili.
Kwa hiyo huyo mwanamke kutopokea sm Mara 16 kutoka kwa mke wake wa ndoa ndo siyo ukatili. Au huo ukatili ni kwa mwanamke pekee. Tusiendekeze kulea upuuzi kwa kigezo Cha ukatili. Huyo alitakiwa anyooshwe maana itakuwa hakukunjwa na wazazi.
Serious kweli missed call 16 with no response, MKE wa mtu tena usiku then unamtetea eti ananyanyaswa bora waachane. Hapo inatakiwa wanaachana lakini akiwa amebaki na utabulisho wa milele kwa ujinga aloufanya.