jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Jifunze, kwa, waliofanikiwa, kwenye ndoa,Lowasa, Samuel Sita, Kusaga, David Beckham, wewe usiangalie ndoa zilizovunjika za, watu wadogo(ki akili, na fedha), MTU elimu ya, degree tu imemtoa kamasi,MTU ambae wivu unamsababishia msongo wa mawazo.zipo ndoa mbovu zipo na zenye neema kubwa! Fatilia ndoa ya, Bill gates, ilivyovunjika, hakuna ma drama meeengi ya kipuuzi! Akili kubwa. Unaolewa, lakini bado una hamu na pipe ya kipenzi, cha zamani, unataka Kodi ya fremu,ka ist, na bring bring kibao, kutoka kwa boss, lqzima utamegwa tu! Mpaka unakuja kuoa, kuolewa, umeishakalia pipe 10+, umeishaingia kwenye visima 10+! Unajua Radha tofauti, makeover, mumeo hataweza kukutosha! Only a miracle will save you!
Sie tulioingia ndoani,tukiwa hatujaonja! ndio hicho hicho! Ndoa ni kwa watakatifu tu!
Mbona hujaeleweka,watakatifu wako mbinguni,ndoa ni unyonyaji.