Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,189
- 1,217
..HAMNA Cha tafsiri Ya ndoto wala nini,its Just daydream ideas maana umechoka na umelala no puzzles wala chochote [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm pia hua naota sana haya mambo na kiuhalisia Mambo Mambo yangu yako hovyo yaani nina degrees lakini kazi kwangu kupata imekua ndoto mpaka nimekata tamaa nafanya mambo mengine hizi ndoto zna maana ya anguko kwenye mambo fulani natamani mwenye ufafanuzi wa haya atupe mana huwa naota mara kwa mara kuna nyingine naota mshikaji aliekua anakimbiza chuo cozi moja ambaye yupo nje ananambiA hii nafasi ilikuwa yako nashindwa kuelewa kbsaMi naota sana niko darasani wkt mi nishamaliza chuo/shule miaka kadhaa iliyopita,ndoto hii inamaanisha nini mkuu Christine Ibrahim?
Amina nashukuru sana kwa muda wako.Hiyo safari unafika?
Unagombania uende mahali na kina nani?
Mazingira yepi?
Ukiwa stand ina maana kuna mahal inabidi ufike( hatua ya maisha, ngazi fulani ya maisha inabid uifikie)
Sasa hiyo kugombania ni hivi
Tuje ktk hali ya kawaida
Kwenye kugombania lazima apatikane wa kuingia ktk bus.
Unachokitaka kina competition kubwa kuna watu wanagombania hapo hapo
Muombe Mungu akushindie ungie ktk hilo bus
Na sio kuingia tu na uanze safari na ifike mwisho ambao Mungu alio ukusudia
Sasa yamkini unaomba unahitaji kuvuka hapo
Mungu anakurudisha kuwa umekwama hili eneo
Huwez vuka had uwe na maandalizi
Maandalizi Yepi? ( hapa muombe Mungu akuvushe , omba usitegemee akili zako mwenyewe, omba ukimaanisha na kwa imani timilifu)
Sijui nimeeleweka.?
Ukiweka ndoto weka maelezo sababu mtu atashindwa aeleze vipi, kuna vitu ukiviacha ktk ndoto ndoto inapoteza baadhi ya maana
Mungu akuvushe ulipo kwama.
Amina nashukuru sana kwa muda wako.
Nimekuelewa kiongozi nityafanya hivyo.
Kwanza miaka ya 2009 -2010 ilikuwa ni magari madogo ila meupe na nilikuwa napanda sigombanii ila ninaokuwa nao maranyingi sikuwa nawatambua na sifiki mwisho wa safari.
Kwenye mabasi Mara nyingi nagombania na ndugu
Mazingira huwa ni ya Miji Mikubwa.
Kwenye bus nimewahi kufanikiwa kuingia na kuanza safari mara moja ila nilikaa na mama mmoja mnene kavaa ushungi ila simfahamu na sikufanikiwa kufika nilipokuwa naenda na sijui nilikuiwa naenda wapi.
Amina nashukuru sana kwa muda wako.
Nimekuelewa kiongozi nityafanya hivyo.
Kwanza miaka ya 2009 -2010 ilikuwa ni magari madogo ila meupe na nilikuwa napanda sigombanii ila ninaokuwa nao maranyingi sikuwa nawatambua na sifiki mwisho wa safari.
Kwenye mabasi Mara nyingi nagombania na ndugu
Mazingira huwa ni ya Miji Mikubwa.
Kwenye bus nimewahi kufanikiwa kuingia na kuanza safari mara moja ila nilikaa na mama mmoja mnene kavaa ushungi ila simfahamu na sikufanikiwa kufika nilipokuwa naenda na sijui nilikuiwa naenda wapi.
Ameen asante sana nimekuelewa na nitafanya hivyo. God Bless youSafari ni hatua ya kwenda mahali fulani.
Muombe Mungu akuongoze
Kutoka13:20
Nao wakasafiri kutoka Sukothi, wakapiga kambi Ethamu, kwenye mpka wa ile jangwa
21 Bwana naye akawatangulia mchana nndani ya wingu mfano wa nguzo, ili kuwapa nuru, wapate kusafiri mchana na usiku,
22 ile nguzo ya wingu haikuondoka mchana, wala ile nguzo ya moto haikuondoka usiku, mbele ya hao watu
## unaona hapo juu hao wana wa Israel walikua na safari
Lakin aliye kuwa anawaongoza Mungu mwenyewe kupitia hizo nguzo mbili
Sasa ukiwa unaomba mwambie Mungu kama alivyo waongoza safar hao wana wa Israel na ww akuongoze
Akupitishe ktk njia ambayo aliyo kuandalia
Ukisoma vizuri hiyo kutoka 14 yote
Utakuta farao aliwafuatia hao wana wa Yakobo
Lakin Mungu aliwafanya wamezwe na maji
Mwambie Mungu nipitapo ktk hii safari wamezwe hao wanaotaka kunikwamisha
Waaibishwe wale wasio taka niifikie kanan yangu
Omba sababu Mungu anatumia Neno kukuvusha
Wakat unaomba kuwa na Imani na Mungu sababu hakuna cha kumshinda
Na kama kuna mtu yeyote aliye pamoja nami ktk safar ambaye ananifanya nisifike.
Mungu shughulika nao kama ulivyo shughulika na Farao na jeshi lake
## sababu naona hapo kuna watu wanajaribu kukurudisha nyuma
Na omba Mungu awe dereva ktk hilo gari ili ufike ktk destination iliyo pangwa
Mungu akiwa dereva huwez ishia njian
AmenAmeen asante sana nimekuelewa na nitafanya hivyo. God Bless you
Asante sana,Naamini Mungu atanipiganiaPole sana,Omba Mungu utafika
Tafuta somo la malango. Tulijibu hili swali.Mimi huwa naota nipo shule nafanya mtihani au nipo nawahi mtihani nakimbia sana au nipo nasoma katika mazingira magum katika hofu ya kufeli mtihani hyo ndoto huwa inajirudia toka 2014 na mim shule nilsha maliza muda mrefu sana
Divine, Mimi niliota nimeitwa Usiku nikiwa nimelala, kwenda kupokea wageni. Nilipoenda nje (gizani ktk ndoto) nikaelekezwa mahali ambapo kulikuwa na ngazi ndefu kuanzia chini duniani hadi mbinguni. Ilikuwa nzuri sana ya mg'ao wa dhahabu na Mwanga mzuri uliimulika ngazi ile tokea mbinguni. Nikasimama pale chini ya hiyo ngazi, na tazama nikaona watu wanapanda na kushuka kwenye ile ngazi! Nikafurahi sana huku nikiendelea kusubiria wageni wangu wafike. Kwa mbali kidogo nikaona ngazi nyingine kama hiyo lakini kwenye hiyo sikuona watu wakipanda na kushuka. Wakati nashangaa hiyo ngazi nyingine, nikaskia sauti ikinisemesha, ndipo nikageuka kuangalia nikaona mtu aliyevalia vizuri mavazi ya dhahabu akinitazama. Alipoona nimemuona akaendelea na safari kupanda juu akiwa amebeba kitu kama kikapu.Tafuta somo la malango. Tulijibu hili swali.
Soma mwanzo 28:10-21Divine, Mimi niliota nimeitwa Usiku nikiwa nimelala, kwenda kupokea wageni. Nilipoenda nje (gizani ktk ndoto) nikaelekezwa mahali ambapo kulikuwa na ngazi ndefu kuanzia chini duniani hadi mbinguni. Ilikuwa nzuri sana ya mg'ao wa dhahabu na Mwanga mzuri uliimulika ngazi ile tokea mbinguni. Nikasimama pale chini ya hiyo ngazi, na tazama nikaona watu wanapanda na kushuka kwenye ile ngazi! Nikafurahi sana huku nikiendelea kusubiria wageni wangu wafike. Kwa mbali kidogo nikaona ngazi nyingine kama hiyo lakini kwenye hiyo sikuona watu wakipanda na kushuka. Wakati nashangaa hiyo ngazi nyingine, nikaskia sauti ikinisemesha, ndipo nikageuka kuangalia nikaona mtu aliyevalia vizuri mavazi ya dhahabu akinitazama. Alipoona nimemuona akaendelea na safari kupanda juu akiwa amebeba kitu kama kikapu.
Mara wakafika wageni wangu kutoka juu kwenye ile ngazi (mbinguni), walikuwa wawili. Tukasalimiana kisha kwa kujua Mimi ndiyo mwenyeji nikataka niwaongoze lakini wao wakanishika mikononi mwao (mmoja kushoto, na mqingine kulia) wakanambia " haya twende". Tukaondoka pale kwenye hiyo nuru(kwenye ile ngazi) na kuelekea gizani maana ilikuwa Usiku.
Sijaelewa ni kitu gani hasa kimo ndani ya ndoto ile ingawa Nina amani sana na kila niikumbuka nasikia furaha sana ndani mwangu.
Habari mkuu.Soma mwanzo 28:10-21
Halafu uonishe na hicho ulicho kiandika
Sijui ndoto kiivyo ila nafahamu kidogo sana kwa kadir Mungu anavyo nielekeza. Hivyo sitokujibu zote nitakujibu baadhi. Mungu aniongoze ktk hiliHabari mkuu.
Waweza nisaidia ndoto hizi mkuu ambazo hujirudia kila mara.
1.Kucheza mpira na rafiki zako wa utotoni.
2.Kuwa darasani unasoma shule ya msingi
3.Kuua nyoka mweusi
4.Kuliona jina lako juu na kila mtu analishangaa
5.Kuwa mwanajeshi unayefunza watu mafunza jeshin au shuleni wakati mwingine unaongoza watu vitani.
6.Kuyaona maneno Mene Mene na Tekeri angani (hii ilitokea mara moja)
7.Kuwaona watu wawili ambao nafsi yako inaamini ni DAUD na YUSUFU wa katika biblia
8.Kusafiri kwa kupaa angani uku unafurahi
9.Kuwaona samaki au ng'ombe kila mara.
HIZI NDIO NDOTO AMBAZO KILA MARA NAOTESHWA ZINA MAANA GANI.
Habari mkuu.
Waweza nisaidia ndoto hizi mkuu ambazo hujirudia kila mara.
1.Kucheza mpira na rafiki zako wa utotoni.
2.Kuwa darasani unasoma shule ya msingi
3.Kuua nyoka mweusi
4.Kuliona jina lako juu na kila mtu analishangaa
5.Kuwa mwanajeshi unayefunza watu mafunza jeshin au shuleni wakati mwingine unaongoza watu vitani.
6.Kuyaona maneno Mene Mene na Tekeri angani (hii ilitokea mara moja)
7.Kuwaona watu wawili ambao nafsi yako inaamini ni DAUD na YUSUFU wa katika biblia
8.Kusafiri kwa kupaa angani uku unafurahi
9.Kuwaona samaki au ng'ombe kila mara.
HIZI NDIO NDOTO AMBAZO KILA MARA NAOTESHWA ZINA MAANA GANI.