mtanzania asiye jielewa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 179
- 98
Kwa kijadi hapo ndo kuna ukweliInategemea na imani yako. Kisayansi wanasema ni uchovu wa fikra pengine upande wa kazini kwako kuna stress hivyo ndoto hiyo inaakisi fikra zako.
Kijadi hiyo ndoto inaashiria uadui maana nyoka daima anawakilisha uadui kiasili. Kwa vile umeota upo kazini hivyo moja kwa moja inaakisi uadui unaokuzunguka kazini ama unapopatia riziki yako inawezekana usiwe wa dhahiri, inaweza ika hata wa wivu tu. Kitendo cha kujihudumia mwenye kunamaanisha umevuka uadui huo na pia kuambiwa kwako juu ya kung'atwa kunamaanisha wapo walio wema kwako.
Narudia tena kulingana na imani yako basi utajua jinsi gani ya kuichukulia ndoto yako. Cha muhimu ni kumuweka Mungu mbele ili akuepushe na mabalaa uyaonayo na usiyoyaona.
Je nifanyeje mkuu