Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,624
- 3,143
Jielezee vzr sielewi hapo
Mvua imekuwaje
Ndoto haiwez anza tu mvua inakunyeshea kuna nn had ikafikia hivyo
In ua Presence Jesus is where I belong
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jielezee vzr sielewi hapo
Mkuu niliota nipo nje mvua inanyesha nalowana,hivo tuJielezee vzr sielewi hapo
Mvua imekuwaje
Ndoto haiwez anza tu mvua inakunyeshea kuna nn had ikafikia hivyo
In ua Presence Jesus is where I belong
dooh, ahsante Mama MchungajiHujamaliza chuo?
Huwa nawaambia watu adui wa mtu ni wa nyumbani kwake wala hatok mbali.
Hata Yesu wangu alisalitiwa na mwanafunzi wake
Hilo shati la rafik ungevaa ungefanya mtihani wa rafiki yako.
Na majibu yangekaa kwa rafiki yako na sio kwako
Mavazi yana nguvu sana ktk ulimwengu wa roho
Ukiota kitu kibaya kama hujui fasir ya ndoto
Omba mwambie Mungu kuwa huyabatilisha mashauri ya waongo,kuwatia waganga wazimu, niwarudishiaye nyuma wenye hekima na kugeuza maarifa yao kuwa ujinga
Nilithibitishaye neno la mtumishi wangu......
(Soma isaya 45:24-28)[emoji115] [emoji115]
Unapokosa ID, unapo chelewa mtihani
Ni maandalizi ya hatua fulani hujajiandaa vzr
Hivyo omba Mungu akuandae vzr na mwambie Mungu ulicho kiona ktk ndoto kisitokee ktk ulimwengu wa mwili
Sababu tuna mamlaka ya kubatilisha kufunga na kufungua.
Mathayo 18:18
Na isaya 7:7
Bwana MUNGU asema hivi, Neno hili halitasimama wala halitakuwa
Heaven Sent ukuje kuna maswal huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia kuna maswali, mengine mama huko juu.dooh, ahsante Mama Mchungaji
Mvua ni kuna ya laana, ya baraka pia,
Chunguza kwanza tabia za mama yako mdogo.Sister divine nisaidie mimi naishi na mama angu mdogo nilishawai kuota ananikaba pia siku nyingine niliota npo kanisani alafu mchungaji akataja jina langu kwamba mama angu mdgo anataka kuniweka msukule...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm huwa naotaga nasoma form six au nimerudia mtian wa form six, achuo, japo nimemaliza kitambo sana na kufaulu vizuri, na huwa nkiotaga huwa naota nakuwa nashindwa kujibu baadhi ya maswali.Sijui ndoto kiivyo ila nafahamu kidogo sana kwa kadir Mungu anavyo nielekeza. Hivyo sitokujibu zote nitakujibu baadhi. Mungu aniongoze ktk hili
[emoji115] [emoji115] soma hiiUchumi umefukiwa chini, pesa yako imechimbiwa chini.
Ukisoma katika Bible Neno linasema msiweke akiba duniani ambapo nondo na kutu viharibipo bali mjiwekee hazina mbinguni....
[emoji115] [emoji115]
Kama imechimbiwa ina maana inaliwa na nondo na kutu ndi maana ukaona kuwa zimechakaa
Kwahiyo unaweza jitahid kumbe pesa yako wameiweka chini iliwe na isiwe na thamani
Cha pili inawezekana sio muaminifu kwa Mungu kutoa sadaka kwa Mungu fungu la 10 au dhabihu au malimbuko
Hivyo umehifadhi pesa duniani inaharibika lakin kwa Mungu hujaweka kitu.
Hazina yako ilipo ndipo moyo wako ulipo
Jipime kwenye hayo mambo mawili. ( soma mathayo 6:19-21)
In ua Presence Jesus is where I belong
Pole kwa majukumu naomba unitafsirie ndoto hii. Niliota naelekezwa na bint yangu sehemu nikafukue hela nilipomwambia cpajui mahali hpo akanifanyia mazingaombwe flani nikapafahamu nikaenda kufukua nikakuta noti za zamani na US dollars... Hii inamaanisha nn plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Heaven SentMm huwa naotaga nasoma form six au nimerudia mtian wa form six, achuo, japo nimemaliza kitambo sana na kufaulu vizuri, na huwa nkiotaga huwa naota nakuwa nashindwa kujibu baadhi ya maswali.
Pia kuna kipind kingine huwa naota nipo na rais, au wachezaji kama kina Mess.
Ni nn tafsiri ya ndoto hizi? Hiyo ya kufudia shule huwa haipiti mwezi sijaota hivyo.
Mi naota nafunga ndoa na mpenzi wangu,,na hii ni kama mara ya kumi naota nafunga ndoa na huyo mtu,,,,zingine huwa naota lakin mume hatokei watu wamejaa namsubiria aje nashtuka,,lakin ya juzi nimeota tumefunga ndoa na sherehe ikawa nzuri tukaenda honey moon tuna furaha sana nikaaamkaHeaven Sent
Kuna mahal ulijibu hii ndoto sioni. Naomba umsaidie huyu na jinsi ya kuomba avuke
Kama Mungu alivyo mtendea Ayubu alipo ombea rafiki zake aka ondoa uteka wake na akutendee na ww unapo saidia hizi shida
In ua Presence Jesus is where I belong
Aisee!MKUU WEWE NI MTAALAMU WA KUFASIRI NDOTO AU NI CHANGAMSHA GENGE TU??
Umefungishwa ndoa na majini katika ulimwengu wa roho,Mi naota nafunga ndoa na mpenzi wangu,,na hii ni kama mara ya kumi naota nafunga ndoa na huyo mtu,,,,zingine huwa naota lakin mume hatokei watu wamejaa namsubiria aje nashtuka,,lakin ya juzi nimeota tumefunga ndoa na sherehe ikawa nzuri tukaenda honey moon tuna furaha sana nikaaamka
Ina maana gani,,mbona sijawah ota nafunga ndoa na mtu mwingine zaidi ya huyu tu[emoji23]
Na mara nyingi ndoto zangu huwa nikiota zinatokea kuwa kweli lakin hii bado sijathibitsha