Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Sijui kila fasir ya ndoto
Najua kwa uchache ukiona sijajibu ujue sijui au sijapata kibali cha kujibu kutoka kwa Roho Mtakatifu

Au natafuta maana ktk Bible
Au nimebanwa na kazi

Msome Biblia

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Hujamaliza chuo?
Huwa nawaambia watu adui wa mtu ni wa nyumbani kwake wala hatok mbali.
Hata Yesu wangu alisalitiwa na mwanafunzi wake

Hilo shati la rafik ungevaa ungefanya mtihani wa rafiki yako.

Na majibu yangekaa kwa rafiki yako na sio kwako

Mavazi yana nguvu sana ktk ulimwengu wa roho

Ukiota kitu kibaya kama hujui fasir ya ndoto
Omba mwambie Mungu kuwa huyabatilisha mashauri ya waongo,kuwatia waganga wazimu, niwarudishiaye nyuma wenye hekima na kugeuza maarifa yao kuwa ujinga

Nilithibitishaye neno la mtumishi wangu......
(Soma isaya 45:24-28)[emoji115] [emoji115]

Unapokosa ID, unapo chelewa mtihani
Ni maandalizi ya hatua fulani hujajiandaa vzr

Hivyo omba Mungu akuandae vzr na mwambie Mungu ulicho kiona ktk ndoto kisitokee ktk ulimwengu wa mwili

Sababu tuna mamlaka ya kubatilisha kufunga na kufungua.

Mathayo 18:18
Na isaya 7:7
Bwana MUNGU asema hivi, Neno hili halitasimama wala halitakuwa
Heaven Sent ukuje kuna maswal huku

Sent using Jamii Forums mobile app
dooh, ahsante Mama Mchungaji
 
Mkuu niliota nipo nje mvua inanyesha nalowana,hivo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mvua ni kuna ya laana, ya baraka pia,
Tukiangalia katka kitabu cha kutoka Mungu aliachilia mvua ya laana katika nchi ya Misri lakin ile mvua haikufika ktk nchi ya Goshen ambako Waisrael walikuwa huko

Kama kuna mvua ya kuharibu jua kuwa kuna mvua ya baraka ambayo haito haribu kitu bali itaneemesha ngoja nikupitishe ktk maandiko

Naendelea....

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Kumbu la torati 28:12
Atakufunulia Bwana hazina yake nzuri nayo ni mbingu, kutoa mvua ya nchi kwa wakati wake, na kubarikia kazi yote ya mkono wako

Ukirudi mstari wa 2 unasema hivi
Na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA,Mungu wako
[emoji115] [emoji115] [emoji115] chukua mstari wa 2 ruka hadi huo mstari wa 12 unganisha hiyo sentesi hizo ni baraka, hivyo ni mvua ni baraka

Na kinyume cha baraka ni laana.

Ngoja nipekue maandiko tena

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Ukishuka chini kumb 28:24
Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi, na mchanga, itakujilia hata kutoka mbinguni hata uangamie.

[emoji115] [emoji115] [emoji115] . Nyingine soma kutoka 9: 22-25

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Sister divine nisaidie mimi naishi na mama angu mdogo nilishawai kuota ananikaba pia siku nyingine niliota npo kanisani alafu mchungaji akataja jina langu kwamba mama angu mdgo anataka kuniweka msukule...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sister divine nisaidie mimi naishi na mama angu mdogo nilishawai kuota ananikaba pia siku nyingine niliota npo kanisani alafu mchungaji akataja jina langu kwamba mama angu mdgo anataka kuniweka msukule...

Sent using Jamii Forums mobile app
Chunguza kwanza tabia za mama yako mdogo.

Na umuulize Mungu hii ndoto naomba uniambie kama ni kwel nirejeshee tena nijue

Sababu ukiota zaidi ya mara 2 Mungu ina maana kalithibitisha neno lake

Na ufunge mlango wa ndoto kwa damu ya Yesu ili shetan asipitishe vya kwake akapitisha ndoto ukajua Mungu kumbe sio

Kaa magotin kwa Mungu omba
Kuna gharama na ukiwa na nia funga muombe Mungu akuthibitishie
Kama sio pia akuthibitishie

Ufalme wa Mungu unapatikana kwa nguvu na wenye nguvu ndio wanao uteka

Hivyo funga omba weka nia kaa katika utakatifu
Mungu hana upendeleo hakika atakujibu
Na shetan anatabia kutumia sura za watu pia.

Lakin neno linasema adui wa mtu ni wa nyumbani mwake

Majibu mazuri ya uhakika yapo kwa Mungu ingia magotin
 
Ndoto yako inaashiria utaishi kati ya mbagala, gongolamboto au Tandika!
 
Sijui ndoto kiivyo ila nafahamu kidogo sana kwa kadir Mungu anavyo nielekeza. Hivyo sitokujibu zote nitakujibu baadhi. Mungu aniongoze ktk hili
Mm huwa naotaga nasoma form six au nimerudia mtian wa form six, achuo, japo nimemaliza kitambo sana na kufaulu vizuri, na huwa nkiotaga huwa naota nakuwa nashindwa kujibu baadhi ya maswali.

Pia kuna kipind kingine huwa naota nipo na rais, au wachezaji kama kina Mess.

Ni nn tafsiri ya ndoto hizi? Hiyo ya kufudia shule huwa haipiti mwezi sijaota hivyo.
 
Pole kwa majukumu naomba unitafsirie ndoto hii. Niliota naelekezwa na bint yangu sehemu nikafukue hela nilipomwambia cpajui mahali hpo akanifanyia mazingaombwe flani nikapafahamu nikaenda kufukua nikakuta noti za zamani na US dollars... Hii inamaanisha nn plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi umefukiwa chini, pesa yako imechimbiwa chini.

Ukisoma katika Bible Neno linasema msiweke akiba duniani ambapo nondo na kutu viharibipo bali mjiwekee hazina mbinguni....

[emoji115] [emoji115]
Kama imechimbiwa ina maana inaliwa na nondo na kutu ndi maana ukaona kuwa zimechakaa

Kwahiyo unaweza jitahid kumbe pesa yako wameiweka chini iliwe na isiwe na thamani

Cha pili inawezekana sio muaminifu kwa Mungu kutoa sadaka kwa Mungu fungu la 10 au dhabihu au malimbuko

Hivyo umehifadhi pesa duniani inaharibika lakin kwa Mungu hujaweka kitu.

Hazina yako ilipo ndipo moyo wako ulipo

Jipime kwenye hayo mambo mawili. ( soma mathayo 6:19-21)

[emoji115] [emoji115] soma hii
Pole kwa majukumu naomba unitafsirie ndoto hii. Niliota naelekezwa na bint yangu sehemu nikafukue hela nilipomwambia cpajui mahali hpo akanifanyia mazingaombwe flani nikapafahamu nikaenda kufukua nikakuta noti za zamani na US dollars... Hii inamaanisha nn plz

Sent using Jamii Forums mobile app

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Mm huwa naotaga nasoma form six au nimerudia mtian wa form six, achuo, japo nimemaliza kitambo sana na kufaulu vizuri, na huwa nkiotaga huwa naota nakuwa nashindwa kujibu baadhi ya maswali.

Pia kuna kipind kingine huwa naota nipo na rais, au wachezaji kama kina Mess.

Ni nn tafsiri ya ndoto hizi? Hiyo ya kufudia shule huwa haipiti mwezi sijaota hivyo.
Heaven Sent
Kuna mahal ulijibu hii ndoto sioni. Naomba umsaidie huyu na jinsi ya kuomba avuke

Kama Mungu alivyo mtendea Ayubu alipo ombea rafiki zake aka ondoa uteka wake na akutendee na ww unapo saidia hizi shida

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Heaven Sent
Kuna mahal ulijibu hii ndoto sioni. Naomba umsaidie huyu na jinsi ya kuomba avuke

Kama Mungu alivyo mtendea Ayubu alipo ombea rafiki zake aka ondoa uteka wake na akutendee na ww unapo saidia hizi shida

In ua Presence Jesus is where I belong
Mi naota nafunga ndoa na mpenzi wangu,,na hii ni kama mara ya kumi naota nafunga ndoa na huyo mtu,,,,zingine huwa naota lakin mume hatokei watu wamejaa namsubiria aje nashtuka,,lakin ya juzi nimeota tumefunga ndoa na sherehe ikawa nzuri tukaenda honey moon tuna furaha sana nikaaamka
Ina maana gani,,mbona sijawah ota nafunga ndoa na mtu mwingine zaidi ya huyu tu[emoji23]
Na mara nyingi ndoto zangu huwa nikiota zinatokea kuwa kweli lakin hii bado sijathibitsha
 
Umefungishwa ndoa na majini katika ulimwengu wa roho,

Hakikisha unaomba lasivyo kuolewa kwako itakuwa shida, cz kila mwanaume anayekuja kwako atakuta umewahiwa na mtu na atakuacha,

Au ukiolewa ndoa itakuwa na migogoro

Hivyo vunja hiyo ndoa yote
Msubirie Heaven Sent akuelekeze vipengele vya kufuata

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Back
Top Bottom