Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Habar wanajamvi
Mim nina ndoto kadhaaa
1.kuota niko jeshin hii ndoto inanirudia mara kwa mara toka ntoke jeshine 2015
2.Juzi nliota nmeng'atwa na mdudu sjui alkua ww aina gan ila nlhsi kama nyoka mguu wa kushoto, nkashtuka yale maumivu nlyahis kabisa nkaanz pekua ktanda mpk uvunguni lkn skuona hata mende. Nltisha kwa kweli
3.week jana nliota napanda mlimaa mrefu wa miamba mkono wang wa kushoto na kulia kulikua na marafik zang kilichotokea nkamsaidia huyu wa kulia nkampa mkon akapnd mlima afu nka mlift huy wa kushoto akapand mlima nkabk pek angu kat kat ya mlima nkashindwa pandsha mwenyew ilhal wenzangu nimeshwapush wakat wako juu wakqnmbia weka mkon hapa kweny (jiwe) flan il npate sapot mara nkjkuta sina nguv ya kuweka mkon kweny lile jiwe nkaanza kosa balance ile wanipe mkono ndo bye bye nkaaanza dondoka ile kufika chin ndo nkashtuka. Ni nin maan ya hizo ndoto??? [emoji120]
 
Habar wanajamvi hiv kuota nmeng'atwa na mdud nahis nyoka mguu wa kushoto na kustuka tuu yale maumivu unayahs ila skuona aram ya kuumwa ila maumivu unayhs... Nkaanza msako ghetto zima kama kuna mdudu, ila wap ata mende skumuona
 
Umeng'atwa ndio na ameachilia sumu ndani yako,
Na amekung'ata na ana uhalali wa kukung'ata,

Yeye abomoae boma nyoka humuuma,

Omba hivi kwa imani sina Bible karibu hapa ila nitaandika na mistar bila kusema ipo kitabu kipi

Miguu yako ikishikwa huwez fanya kitu, miguu inatumika umiliki mahali au utembee sehemu moja kwenda nyingine
Popote utakapo kanyaga nimekupa kumiliki, hivyo unavyo ng'atwa ktk mguu shetan anawinda utayar wako na anakuingizia sumu ya kuua,
Nyoka ni sumu na sumu inaua, hivyo inaweza ua vitu vyako, iwe ktk mikono umeng'atwa anawinda uchumi wako

Nyoka pia anaweza ingiza hila za udanganyifu mahali akiingia

Kuomba

Lazima ujitakase mwenyewe kwanza mm sijui imani yako bt nakufundisha kwa imani yangu hivyo omba kwa imani utavuka Mungu hana upendeleo

Baba ninaomba toba kwaajil yangu unitakase kwaajili ya dhambi zangu, uovu, hatia, dosari au jambo lolote lile ambalo limempa uhalali shetan kupita ktk maisha yangu,
Najua kuna mlango upo wazi ndio maana mwovu akapata nafasi ya kupitisha sumu ndani yangu, Yesu nina tubia uovu wowote nilio utenda mimi na familia na ukoo wangu kwa damu ya Yes.

Ninaachilia damu ya Yesu ipite ndani yangu, ikaondoe kila pando lililo kuwa ndani yangu
Kwa maana ulisema hii damu yako ya agano imwagikayo kwaajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi (mathayo 26:28)
MUNGU kila agano lililo simama namwaga damu ya Yesu ya agano ikavunje kila agano lililo nishikilia,
Damu ya agano ikapite ikaondoe na kubatilisha maagano yote kwa jina la Yesu na kwa damu ya Yesu.
Naachila damu ya Yesu ikaondoe kila pando lililo ingia ndani yangu
Kwa umesema kila pando asilo lipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa, nami nang'oa pando la sumu au chochote kilichoingia ktk mguu wangu au mkono wangu au mwilini mwangu au popote pale nang'oa kwa Damu ya Yesu ya agano na kwa Jina la Yesu, nang'oa kwa Jina la Yesu, (wakati unang'oa peleka mkono hapo ktk maumivu fanya kitendo cha imani fanya kama unatoa)

Kila alama ya uaminifu ambayo imempa shetan uhalali ndani yangu nanyunyiza damu ya Yesu inayo nena mema ikayeyushe hiyo alama kwa Jina la Yesu

Shika ulipo ng'atwa kemea pia

Pepo nyoka toka ndani yangu kwa jina La Yesu( shika kemea mara nyingi, angalia aina gan ya mdudu aliye kung'ata, kama humjui kemea pepo yeyote uliyekuja kwa njia ya mdudu toka ndani yangu kwa Jina la Yesu)

Natoa jina langu popote lilipo unganishwa napeleka damu ya Yesu ikaondoe jina langu na kuliambatanisha na madhabahu ya Mungu aliye hai

Naachilia damu ya Yesu iingie ndani yangu ikaniponye ndani yangu
Maana kwa kupigwa kwako Yesu sisi tumepona,

Nami nipo huru sasa kwa Jina la Yesu
Sawa sawa na Isaya 61:1
Amen

Palipo pungua Roho Mtakatifu atakufundisha kuomba
Pia wakati angalia wapi umeota hiyo ndoto ulikuwa wapi pia hilo eneo wakati unaomba toba ombea toba pia na upeleke damu Ya Yesu

(
 
Habar wanajamvi
Mim nina ndoto kadhaaa
1.kuota niko jeshin hii ndoto inanirudia mara kwa mara toka ntoke jeshine 2015
2.Juzi nliota nmeng'atwa na mdudu sjui alkua ww aina gan ila nlhsi kama nyoka mguu wa kushoto, nkashtuka yale maumivu nlyahis kabisa nkaanz pekua ktanda mpk uvunguni lkn skuona hata mende. Nltisha kwa kweli
3.week jana nliota napanda mlimaa mrefu wa miamba mkono wang wa kushoto na kulia kulikua na marafik zang kilichotokea nkamsaidia huyu wa kulia nkampa mkon akapnd mlima afu nka mlift huy wa kushoto akapand mlima nkabk pek angu kat kat ya mlima nkashindwa pandsha mwenyew ilhal wenzangu nimeshwapush wakat wako juu wakqnmbia weka mkon hapa kweny (jiwe) flan il npate sapot mara nkjkuta sina nguv ya kuweka mkon kweny lile jiwe nkaanza kosa balance ile wanipe mkono ndo bye bye nkaaanza dondoka ile kufika chin ndo nkashtuka. Ni nin maan ya hizo ndoto??? [emoji120]
Mungu anakuonesha pia unachokifanya hutafika hadi mwisho, ila wengine watavuka wewe utarud chini

Hivyo Omba kwa Mungu akupe mikono yenye nguvu na miguu yenye nguvu pia ili usiishie njiani,
Musa hakufika kanani aliishia njiani,
Nashindwa kukuelezea vzr hapo ingawa nimeelewa kidogo sio sana
Ila wakati unaomba usiache kuanza na toba
Ukimaliza mwambie Roho Mtakatifu nisaidie kuomba hii ndoto kwa imani anza kuomba na utaona unaomba, usizuie maneno yanayo toka ndani yako tamka wakati unaomba utavuka hapo
 
Umeng'atwa ndio na ameachilia sumu ndani yako,
Na amekung'ata na ana uhalali wa kukung'ata,

Yeye abomoae boma nyoka humuuma,

Omba hivi kwa imani sina Bible karibu hapa ila nitaandika na mistar bila kusema ipo kitabu kipi

Miguu yako ikishikwa huwez fanya kitu, miguu inatumika umiliki mahali au utembee sehemu moja kwenda nyingine
Popote utakapo kanyaga nimekupa kumiliki, hivyo unavyo ng'atwa ktk mguu shetan anawinda utayar wako na anakuingizia sumu ya kuua,
Nyoka ni sumu na sumu inaua, hivyo inaweza ua vitu vyako, iwe ktk mikono umeng'atwa anawinda uchumi wako

Nyoka pia anaweza ingiza hila za udanganyifu mahali akiingia

Kuomba

Lazima ujitakase mwenyewe kwanza mm sijui imani yako bt nakufundisha kwa imani yangu hivyo omba kwa imani utavuka Mungu hana upendeleo

Baba ninaomba toba kwaajil yangu unitakase kwaajili ya dhambi zangu, uovu, hatia, dosari au jambo lolote lile ambalo limempa uhalali shetan kupita ktk maisha yangu,
Najua kuna mlango upo wazi ndio maana mwovu akapata nafasi ya kupitisha sumu ndani yangu, Yesu nina tubia uovu wowote nilio utenda mimi na familia na ukoo wangu kwa damu ya Yes.

Ninaachilia damu ya Yesu ipite ndani yangu, ikaondoe kila pando lililo kuwa ndani yangu
Kwa maana ulisema hii damu yako ya agano imwagikayo kwaajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi (mathayo 26:28)
MUNGU kila agano lililo simama namwaga damu ya Yesu ya agano ikavunje kila agano lililo nishikilia,
Damu ya agano ikapite ikaondoe na kubatilisha maagano yote kwa jina la Yesu na kwa damu ya Yesu.
Naachila damu ya Yesu ikaondoe kila pando lililo ingia ndani yangu
Kwa umesema kila pando asilo lipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa, nami nang'oa pando la sumu au chochote kilichoingia ktk mguu wangu au mkono wangu au mwilini mwangu au popote pale nang'oa kwa Damu ya Yesu ya agano na kwa Jina la Yesu, nang'oa kwa Jina la Yesu, (wakati unang'oa peleka mkono hapo ktk maumivu fanya kitendo cha imani fanya kama unatoa)

Kila alama ya uaminifu ambayo imempa shetan uhalali ndani yangu nanyunyiza damu ya Yesu inayo nena mema ikayeyushe hiyo alama kwa Jina la Yesu

Shika ulipo ng'atwa kemea pia

Pepo nyoka toka ndani yangu kwa jina La Yesu( shika kemea mara nyingi, angalia aina gan ya mdudu aliye kung'ata, kama humjui kemea pepo yeyote uliyekuja kwa njia ya mdudu toka ndani yangu kwa Jina la Yesu)

Natoa jina langu popote lilipo unganishwa napeleka damu ya Yesu ikaondoe jina langu na kuliambatanisha na madhabahu ya Mungu aliye hai

Naachilia damu ya Yesu iingie ndani yangu ikaniponye ndani yangu
Maana kwa kupigwa kwako Yesu sisi tumepona,

Nami nipo huru sasa kwa Jina la Yesu
Sawa sawa na Isaya 61:1
Amen

Palipo pungua Roho Mtakatifu atakufundisha kuomba
Pia wakati angalia wapi umeota hiyo ndoto ulikuwa wapi pia hilo eneo wakati unaomba toba ombea toba pia na upeleke damu Ya Yesu

(
AMINA KWA IMAN NIMESHRK HII SALA
 
AMINA
 
Ukiota uko ziarani na viongozi wako wakubwa kazini na pia wakuu wa nchi/maraisi au makamu na pia ukaota umeganya tendo la ajabu watu wanakwambia waziri mzima unafanya hivo?? Eti nini maana Yake?
 
Yaani mdada

ubarikiwe mnooo!!! Nikipitiaga post zako na Heaven Sent huwa nahisi kupona kabisa.
 
Omba hadi uone upo vzr na hayo maumivu yameisha, usiache kuendelea kuomba
Daah!
Ulimwengu wa roho ni mkubwa sana,mimi mwenyewe kuna siku niliota nimeng'atwa na nyoka mguu wa kushoto na mkono wa kushoto halafu sumu ikawa inapanda kwa kasi sana kichwani watu waliokuwa pembeni yangu hawakutaka kunisaidia so nikawa nahangaika peke yangu sumu ilipanda kichwani lakini sikufa
 
Divine, Mimi niliota nimeitwa Usiku nikiwa nimelala, kwenda kupokea wageni. Nilipoenda nje (gizani ktk ndoto) nikaelekezwa mahali ambapo kulikuwa na ngazi ndefu kuanzia chini duniani hadi mbinguni. Ilikuwa nzuri sana ya mg'ao wa dhahabu na Mwanga mzuri uliimulika ngazi ile tokea mbinguni. Nikasimama pale chini ya hiyo ngazi, na tazama nikaona watu wanapanda na kushuka kwenye ile ngazi! Nikafurahi sana huku nikiendelea kusubiria wageni wangu wafike. Kwa mbali kidogo nikaona ngazi nyingine kama hiyo lakini kwenye hiyo sikuona watu wakipanda na kushuka. Wakati nashangaa hiyo ngazi nyingine, nikaskia sauti ikinisemesha, ndipo nikageuka kuangalia nikaona mtu aliyevalia vizuri mavazi ya dhahabu akinitazama. Alipoona nimemuona akaendelea na safari kupanda juu akiwa amebeba kitu kama kikapu.

Mara wakafika wageni wangu kutoka juu kwenye ile ngazi (mbinguni), walikuwa wawili. Tukasalimiana kisha kwa kujua Mimi ndiyo mwenyeji nikataka niwaongoze lakini wao wakanishika mikononi mwao (mmoja kushoto, na mqingine kulia) wakanambia " haya twende". Tukaondoka pale kwenye hiyo nuru(kwenye ile ngazi) na kuelekea gizani maana ilikuwa Usiku.

Sijaelewa ni kitu gani hasa kimo ndani ya ndoto ile ingawa Nina amani sana na kila niikumbuka nasikia furaha sana ndani mwangu.
siku nyingine usisimulie ndoto zako hadharani,sio kila mtu atapenda ulichooneshwa.
 
Daah!
Ulimwengu wa roho ni mkubwa sana,mimi mwenyewe kuna siku niliota nimeng'atwa na nyoka mguu wa kushoto na mkono wa kushoto halafu sumu ikawa inapanda kwa kasi sana kichwani watu waliokuwa pembeni yangu hawakutaka kunisaidia so nikawa nahangaika peke yangu sumu ilipanda kichwani lakini sikufa
Uliomba ?
 
Dada kwakifupi mimi niko kwenye vita kali sana katika maisha coz nilishapewa ishara ya juu ya maisha yangu ya baadaye, kuna uwezekano ntakuwa mtu mkubwa kwani hatua niliyokuwepo na mitihani ninayopitia ni migumu sana ndio maana nafanya sana dua kila siku na kuswali swala tano coz mimi ni muislam. Halafu dada kuna ndoto ya viatu nayo nimekua naiota sana katika kipindi cha hivi karibuni naomba unisaidie. Ndoto yenyewe ni kwamba niliota mfanyakazi mwenzangu ambaye tuko naye idara moja tuko kwenye mto halafu maji yakawa yanakuja upande wetu na viatu viwili, sasa yule mwenzangu akataka kuvichukua lakini kwa bahati nzuri mimi nikawahi kimoja nikamwambia hiki changu halafu kiatu kingine alivyotaka kukichukua kikapotea hatukukiona.
 
Naomba msaada wa ndoto hii ambayo nimeota usiku wa kuamkia leo, nimeota nakula chakula,kuna,mwanamke simjui amekaa pembeni yangu ananipa chakula kiko kwenye sahani, nikawa na wasiwasi na hicho chakula lakini cha ajabu ninaendelea kula mpaka ninamaliza akanipa tena sahani nyigine, ila nilionyesha dalili yakutokukikubali hicho chakula laikini alikuwa akinisisitizia kuwa kiko salama niendelee kukila, then baada ya muda nilishtuka na nikaingia kwenye maombi makali ya kukemea, kama ni roho chafu au nimeunganishwa na maagano yaniepuke.
 
Mie ni maktaba ya ndoto, yaani Leo nimeota nipo na Mjomba wangu ambaye hanipendi na huwa aniongeleshi na hapokei simu yangu. Nipo nae kwa namsindikiza kutoka sehemu moja kwenda nyingine kule kijijini, tukafika mahali nikamuaga nikaondoka. Hivi hii instead maana gani mpendwa DIVINE
 
Back
Top Bottom