Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Kafungwa kwenye ulimwengu wa roho, kaisha ulewa huyo.

Solution:
Ni kuvunja hicho kiapo au ndoa aliyokwisha funga kwenye ulimwengu wa roho, ndio ataweza kupata mume wa kumuowa.
shukrani sana kwa ufafanuzi mkuu,

na hili nalo vipi,..? ufafanuzi

Msaada, kuna Ndoto nimeoteshwa, niko Makao makuu ya kampuni nalofanyia kazi tuko kwenye meza tumekaa wanawake ni wengi mwanaume kama nilikuwa mwenyewe, na kuna jambo tulikuwa tukijadili japo silikumbuki.

Watu hao niliokaa nao ni mwanamke mmoja ndio namjua, na watu hao wako idara ambayo ilishawahi kutoa kazi na nilikuwa nakidhi vigezo ila kuna mambo yalifanyika nika katwa, ilikuwa nyuma kidogo lakini sasa naona tumekaa meza moja kuna jambo tunajadili.

hii Ndoto maana yake ni nini..?

Ahsanteni
 
Mi nimeota nang'oka meno(meno ya juu),inamaan gn mkuu
Screenshot_20200226-141208_1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa naota mara nyng kua nipo shule primary au sekondari akat nlshamalza miaka mingi .. pia naotaga nakimbizwa na Simba bila kukamatwa kuna wakat zinaacha ila zinajirudia....JE NINI MAANA YA HIZI NDOTO
 
Kuota warudi darasani maana kuna mambo wapaswa kujifunza upya ktk maisha yako, tafakari upya ni kitu umepungukiwa nini?

Je, unafanya mitihani? Kufanya mitihani maana yake kuna majaribu utapitia au unapitia ktk maisha, mtihani ulivyokuwa ndivyo hali halisi utakayopitia ama unapitia ktk hilo jaribu.

Kuhusu simba labda nikuulize imani yako, Biblia 1Petro 5:8-9 inasema Ibilisi ni kama simba aungurumaye akitafuta mtu ammeze. Maandiko yanasema namna pekee ya kumshinda ni kuwa thabiti ktk Imani.

Tafakar maisha yako ya kiroho, kumbuka Imani ni neno pana sana ktk maandiko matakatifu.

Mfano Imani kuna mahali inatambulika kama wokovu, Yesu, haki n.k

Mungu akufanyie wepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante ni kwli mara nyingi nkiota npo darasani huwa naota nafanya mitihani japokua mara nyng ni migumu LAKINI sijawahi kumalza mtihani wwte had ndoto inaisha
 
Mm naishi nyumban kwao na familia yake (yaan na wazaz wake)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kibiblia kumnyoa mtu nywele ni kama kumtolea nguvu zake, yaweza kuwa nguvu za kiroho au nguvu za mwilini.

Inahitaji wew kusema mwenendo wako wa kumwabudu Mungu na wa huyo rafiki yako.. ndio itakua rahisi zaidi wew kuambiwa ndoto hiyo imeshikilia tukio gani katika maisha yenu, but hapo impact kubwa na hasara inaonekana kwenda kwa ambae ananyolewa.
 
Back
Top Bottom