Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Kafungwa kwenye ulimwengu wa roho, kaisha ulewa huyo.bado hajaolewa
Solution:
Ni kuvunja hicho kiapo au ndoa aliyokwisha funga kwenye ulimwengu wa roho, ndio ataweza kupata mume wa kumuowa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafungwa kwenye ulimwengu wa roho, kaisha ulewa huyo.bado hajaolewa
shukrani sana kwa ufafanuzi mkuu,Kafungwa kwenye ulimwengu wa roho, kaisha ulewa huyo.
Solution:
Ni kuvunja hicho kiapo au ndoa aliyokwisha funga kwenye ulimwengu wa roho, ndio ataweza kupata mume wa kumuowa.
UnazinguaMaana yake unakaribia kufungua saluni yako ya kiume.
#dumesuruali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamnyoaga kipara?Eti ukiwa unaota mara kwa mara unamnyoa rafiki yako nywele mana yake nn jmn. Nisaidien
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeota mala ngapi? na huyo rafk anachukua nafasi gani kwako, hadi unamuota ota.
Naishi nae nyumba moja, ila yeye ni bubu sasa sielewiUmeota mala ngapi? na huyo rafk anachua nafasi gani kwako, hadi unamuota ota.
Ukieleza ndoto yako kwa urefu huenda ukapewa tafsiri
Ni nani kwako? Ndugu?
Mm naishi nyumban kwao na familia yake (yaan na wazaz wake)Ni nani kwako? Ndugu?
Kibiblia kumnyoa mtu nywele ni kama kumtolea nguvu zake, yaweza kuwa nguvu za kiroho au nguvu za mwilini.