Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kila kitu...hakuna ushauri mwingine mzuri zaidi ya huu....rudi magotiniUsiamue chochote rudi magotini, omba tena, hadi uhakikishe Mungu amesema tena usiafanye maamuzi unless una uhakika ni Mungu amehusika La sivyo UTAJUTA
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kazi kweli kweli.Samahani sana kama nitakukosea, ila kiukweli niseme wazi kabisa, hakuna watu mnatyombana kama nyie mnaojifanya ni washika dini, yaani mnajifanuaga ni waimba kwaya na watu ambao mmemshika Mungu kumbe malaya kinyama yaani, kuna wadada wanajifanyaga wameshika dini ila huku mtaani tunawapekea moto kinyama yaani, again mnakaubaguzi fulani, yaani mnakulana wenyewe kwa wenyewe halafu sisi wengine mnatuona ni wamataifa asee, niseme tuu hakuna cha ndoto, shetani wala mizimu, ni tamaa zako tuu za kimwili, malaya wakubwa, sorry meonyesa hisia zangu kwa sababu mlinigongeaga manzi wangu alikuja kweye hayo makanisa yenu ya wapendwa, mamamamamae
Nachojua ukiona paka jua kuna watu wanapigana na wewe kiroho, upo kwenye vita ya kiroho. Hivyo sali sana mkuuHivi ndoto ya kupigana na Mnyama jamii ya paka inamaanisha nini?
Kwa sabbu niliota nimejining'iniza kwenye dari nazungusha mateke ya maana haswa..mpaka yule paka akapotea nikawa vizuri
Hii inamaanisha nini?
Scenario nyingine pia niliota nipo na ndugu yangu + jamaa mmoja wa hapa kitaa sasa Paka jingine jeusi likaja likanitazama..tukatazamana face by face after 5seconds hivi likatoweka.
Mwenye uelewa mpana wa ndoto anisaidie zinamaanisha nini hzi?
Kwa sabbu nafuatiliwa sana hapa kitaa
Shukrani sana MkuuNachojua ukiona paka jua kuna watu wanapigana na wewe kiroho, upo kwenye vita ya kiroho. Hivyo sali sana mkuu
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hahahah Haya buana"Mpendwa" unafurahisha sana...sasa si uote tena ili ujue mbivu na mbichi?
Mkoani mkuuUko wapi? Dar au mkoani
Alikuwa akisikiliza tu na yeye pia akaafiki tuoane na yule binti baadae tukaondokaMlipokua mnaongea kuowana na huyo wa kutoka AIC huyo wa pembeni mezan alikua kwenye hali gani / aliyachukuliaje maongezi yenu ?
Sawa mkuuUsiamue chochote rudi magotini, omba tena, hadi uhakikishe Mungu amesema tena usiafanye maamuzi unless una uhakika ni Mungu amehusika La sivyo UTAJUTA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samahani sana kama nitakukosea, ila kiukweli niseme wazi kabisa, hakuna watu mnatyombana kama nyie mnaojifanya ni washika dini, yaani mnajifanyaga ni waimba kwaya na watu ambao mmemshika Mungu kumbe malaya kinyama yaani, kuna wadada wanajifanyaga wameshika dini ila huku mtaani tunawapekea moto kinyama yaani, again mnakaubaguzi fulani, yaani mnakulana wenyewe kwa wenyewe halafu sisi wengine mnatuona ni wamataifa asee, niseme tuu hakuna cha ndoto, shetani wala mizimu, ni tamaa zako tuu za kimwili, malaya wakubwa, sorry meonyesha hisia zangu kwa sababu mlinigongeaga manzi wangu alikuja kweye hayo makanisa yenu ya wapendwa, mamamamamae