Mzee Chayai
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 429
- 782
Hahahaaaa....... Soko la Ndugai!Na weye ETI leo wamshangaa Ndugai? Hii dunia wajameni!
Huyu ni wa kusomewa dua mbaya tu amfuate mwendazakeAna dhamana na kodi unayolipa.
That makes perfect sense if it’s true, not sure kama kuna reli line inayoingia mpaka kwenye mashamba ya bakhresa to date, sasa sijui hayo mabehewa huwa anayapaki wapi. Muhimu TRC don’t incur costs za hayo mabehewa.Kampuni ya usafirishaji binafsi inaweza kutumia mabehewa kwa shughuli zake binafsi mbadala wa malori.Rejea kitu anachokifanya bakhresa na shirika la reli!
Cha kushangaza waliokuwa ofisini wakitetea huo utumbo mpaka sasa bado wapo na wataendelea kuwepo a lot of years to come na hawatafanyiwa lolote. Nchi yetu kuanzia mwananchi(siku hizi wanaitwa wanyonge) hadi Rais wote wanalalamika na kila mmoja anaonekana yupo in a confused state na hakuna reliable solution asilani. Mama Tanzania yupo hoiAmri ya nane usiseme uongo, interview ya kuongoza malaika inaelekea ilikua ngumu kidogo.
Walikuwa wanaogopa watu wasiojulikanaaNdugai naona mitazamo yake ya kiuchumi ni kama ya Samia Suluhu. Yule jamaa aliyekuwa anaua sekta binafsi alikuwa anaturudisha miaka 40 nyuma na wala hashauriki. Mashirika binafsi ya ndege alifanya juhudi yafe wakati ATCL ni hasara, PPP ilikuwa imeshakufa
Watu mnalumu tu kwa nini hawakuongea Magufuli akiwa madarakani, pengine mlikuwa hamumjui Magufuli. Pengine waliona anaharibu sana na haambiliki wakaamua wamtangulize tu kama baadhi ya watu wanavyodai
Kwa kawaida ya Watanzania, wiki ijayo watakua wamesahau yote na maisha yanaendelea.Cha kushangaza waliokuwa ofisini wakitetea huo utumbo mpaka sasa bado wapo na wataendelea kuwepo a lot of years to come na hawatafanyiwa lolote. Nchi yetu kuanzia mwananchi(siku hizi wanaitwa wanyonge) hadi Rais wote wanalalamika na kila mmoja anaonekana yupo in a confused state na hakuna reliable solution asilani. Mama Tanzania yupo hoi
Mabehewa yanaPack station kama mabehewa mengineThat makes perfect sense if it’s true, not sure kama kuna reli line inayoingia mpaka kwenye mashamba ya bakhresa to date, sasa sijui hayo mabehewa huwa anayapaki wapi. Muhimu TRC don’t incur costs za hayo mabehewa
Unasema wangeongea wakati jiwe akiwa Ikulu!unatania jamaa,upo bongo kweli,Ndugai naona mitazamo yake ya kiuchumi ni kama ya Samia Suluhu. Yule jamaa aliyekuwa anaua sekta binafsi alikuwa anaturudisha miaka 40 nyuma na wala hashauriki. Mashirika binafsi ya ndege alifanya juhudi yafe wakati ATCL ni hasara, PPP ilikuwa imeshakufa
Watu mnalumu tu kwa nini hawakuongea Magufuli akiwa madarakani, pengine mlikuwa hamumjui Magufuli. Pengine waliona anaharibu sana na haambiliki wakaamua wamtangulize tu kama baadhi ya watu wanavyodai
Kwa kasi hii tunarudi kulekule tulikotoka.Pia ameshauri sekta binafsi kuhusishwa kwenye uwekezaji wa miradi mikubwa kama kununua mabehewa ya treni za kisasa zitakazokuja na sio kila kitu kufanya Serikali huku akisema wabunge nao inabidi washiriki na sio kuwaachia wawekezaji wa kutoka nje pekee japo nayo ni vizuri
Mimi nilishasema '',Baada ya kifo cha Jiwe,akili za watu wengi zitarudi kufikiri kama kawaida'',Sasa hapa tunayemsikia ndiye Ndungai halisi.Yule mwingine alikuwa ameshikiwa akili na Jiwe!Unasema wangeongea wakati jiwe akiwa Ikulu!unatania jamaa,upo bongo kweli,
Yaliyomkuta Tundu lisu huyajuhi?yaliyomkuta Nape huyajuhi?
Je Yule mkuu wa Idara BOT,aliyekutwa "kajinyonga"?acha utani watu walikuwa wanaogopa kuuliwa
hujanisoma vizuri mi ndio nilikuwa nasema wasilaumu sana watu wanaoongea tofauti na misimamo ya Magufuli sasa hivi wakti kipindi chake walikuwa kimya maana political career zao zingeweza kuishia hapo hapo or worseUnasema wangeongea wakati jiwe akiwa Ikulu!unatania jamaa,upo bongo kweli,
Yaliyomkuta Tundu lisu huyajuhi?yaliyomkuta Nape huyajuhi?
Je Yule mkuu wa Idara BOT,aliyekutwa "kajinyonga"?acha utani watu walikuwa wanaogopa kuuliwa
Whose space, vipi TRC wakiwa na mizigo yao and what about maintance?Mabehewa yanaPack station kama mabehewa mengine
Wakati ule wabunge wa upinzani wanatoa Maoni kuhusu hili shirika mliwaita mawakala wa mabeberu, sio wazalendo, wanatumika na meneno mengine kibao hadi wengine kupewa adhabu za ovyo ovyo.
Leo mmeingiza nchi hasara mnasema wabunge wachangie kwa uwazi, wabunge wenyewe wako wapi wa kuchangia kwa uwazi.?
Hawa akina Babu Taletale? Waliopekwa bungeni kama watoto wanapelekwa chekechea..
CCM na Mwendazake mmeifirisi sana nchi hii na bado mnaendelea kuifirisi na kutuona Watanzania kama mazwazwa.
Alijua sanaInamaana alikuwa hayajui hayo? Mbona alikuwaga kimya miaka yote mi5?
Walikuwa wanajitoa ufahamuBaada ya aliyekuwa akiwashika akili kwenda zake..sasa wanaanza kuhamuka