Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #41
Ninachojuwa mimi wanaowahi kuzika hakuna sababu nyingine zaidi ya kufuata maelekezo ya uislamu.Wala haishangazi.
Mtume alifariki siku ya Jumatatu mchana tarehe 8 June 632 na akazikwa usiku Jumanne kuamkia Jumatano masaa zaidi ya 24 baada ya kufariki .
Hao wanaowahisha kuzika huwa wana sababu zao tu kama wale wanaochelewa kuzika.
Kusisitiza maana yake nini siyo maamrisho?Dini imesisitiza ila wao watajua wafanyaje.
KUzika ni kuswaliwa ile ibada ndio na kufukiwa ndio kuzikwa.Ninachojuwa mimi wanaowahi kuzika hakuna sababu nyingine zaidi ya kufuata maelekezo ya uislamu.
Wapemba akifa hata saa 10 jioni wanaweza kuzika hata usiku.
Dr Omar Ally Juma alikuwa ni mpemba na makamu wa kwanza wa Rais alizikwa faster kiasi kwamba kama uko bize na mambo yako huwezi kujuwa makamu wa Rais amekufa na kuzikwa.
Sikiliza kuna hekima kubwa juu ya hilo , usije kusikia waislamu hawali chakula cha msibani ukashangaa wapo wnaokataa kula chakula au kutumia gharama kama kuweka matanga.Kusisitiza maana yake nini siyo maamrisho?
Kama ni hivyo wanaokumywa pombe na kula nguruwe msiwanyoshee kidole maana kila mtu sasa ana haki ya kupuuza kitu fulani kilichoagizwa kwenye kitabu.
Haya ni maoni yako tu ya kijima, hata harusi za kiislamu zilikuwa msikitini au nyumbani kwa bibi harusi baada ya hapo ubwabwa kwa wote imeisha hiyo.Sikiliza kuna hekima kubwa juu ya hilo , usije kusikia waislamu hawali chakula cha msibani ukashangaa wapo wnaokataa kula chakula au kutumia gharama kama kuweka matanga.
Mashehe ubwabwa huwa wanasema hata akifa rais mwili unapaswa kuzikwa fasta vinginevyo ni haramu. Leo unasema nini shehe wakngu wa buza?Dini ya kiislamu haisemi ni LAZIMA kuzika siku hiyo hiyo inasema ni vizuri usicheleweshe kuzika maiti kama hamna sababu za maana za kufanya hivyo.
Msiwe mnakurupuka kwenye conclusion huku hamjui chochote kuhusu Uislamu.
Shauri zenu na Uislamu wenu wa Buza. Mara nyingine kiherehere chenu mnazikaga watu wakiwa bado wazima. Mnajifanya mnaujua Uislamu kuliko wenye nawo.Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
harusi hamna kweny uislamu labda ndoa , ndoa maana kuna utenganisho kufanya harusi wewe unaweza kufanya ila ndoa ya kiislamu ni dk 10 basi 😛 😛Haya ni maoni yako tu ya kijima, hata harusi za kiislamu zilikuwa msikitini au nyumbani kwa bibi harusi baada ya hapo ubwabwa kwa wote imeisha hiyo.
Lakini sasa hivi Waislamu nao wanaiga desturi za macrusader kukaa vikao vya sherehe ya harusi na kuanza michango ya kausha damu.
Shema Israel😄😄Uliza je, mwili upo? Vifo hivyo ni vibaya mno, hapo wamejaribu DNA za kila mmoja ili walau wazike.
Hata nchi hiyo imechanganyikiwa, aliyetumwa kuhakiki naye kauliwa,
Baada ya ndoa siku hizi si mnafanya harusi ukumbini na bia mtindo mmoja?harusi hamna kweny uislamu labda ndoa , ndoa maana kuna utenganisho kufanya harusi wewe unaweza kufanya ila ndoa ya kiislamu ni dk 10 basi 😛 😛
Hizo ni kanuni kwa ajili ya mafukara.Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Imani ndiyo ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii duniaKuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Ile wanafanya wao ila haitambuliki kweny uislamu ...Kama dhmbi wote wanadhambi .Baada ya ndoa siku hizi si mnafanya harusi ukumbini na bia mtindo mmoja?
Hata mwili wa mtume wao ulikaa siku kadhaa ukaharibika wakaamua kumzikia chumbani mwa Bi Aisha.Mwili wa hayati Alhaj Mzee mwinyi walikaa nao siku kadhaa
Badala ya kushangaa viongozi wa dini,Askofu Mkuu wa Makanisa,na Mwanafunzi wa Upadre kujinyonga,washangaa aliyekufa kwa ajali,kuzikwa.Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
Badala ya kushangaa,viongozi wa dini kujinyonga,Askofu Mkuu na mwanafunzi wa upadre,washangaa aliyekufa,kwa ajali au kuuwawa kwa kuzikwa kwake.Hata mwili wa mtume wao ulikaa siku kadhaa ukaharibika wakaamua kumzikia chumbani mwa Bi Aisha.
Wakati anapitishwa barabarani utasikia mlipuko mkubwa, Tel AvivKuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia.
Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?