Ndugu katika imaan, inakuwaje nchi ya kiislamu maiti iwekwe wiki nzima bila kuzikwa?

Nafikiri kutokana na uduni wa Elimu ya kuifadhi maiti ya wakati huo! Waliweka hii sheria ili Maiti isiharibike kabla ya mazishi na pia haya maeneo yana hali ya joto sana sio kama Ulaya.... ni mapokea tu- Mungu anadeal na roho yako Mara tu Ukikata Moto! tukifa tu sawa na Kambale au kwenge na Roho zetu either ziende Peponi au Dampo kwenye Moto wa milele😁
 
Hii dini ina unafiki mwingi sana hasa lengo ikiwa kuwakandamiza vilaza weusi na wanawake.
Sio ina unafiki,wanafiki ni ngozi nyeusi ambao wanaivamia kuliko kupata elimu yake.Wakiambiwa wasome dini kiundani hawataki,pelekeni vijana wakasome Dini Uarabuni hawataki,kiufupi mtu wa Pwani hapendi elimu
 
Sio ina unafiki,wanafiki ni ngozi nyeusi ambao wanaivamia kuliko kupata elimu yake.Wakiambiwa wasome dini kiundani hawataki,pelekeni vijana wakasome Dini Uarabuni hawataki,kiufupi mtu wa Pwani hapendi elimu
Hii dini hata kuitetea haiwezekani, si umeona hata wewe umeshindwa?
 
Taratibu nyingi za kidini ziko kwa ajili ya waumini maskini na hohehae.Kwa viongozi wakisiasa na matajiri huo ujinga hauzingatiwi.
 
Yan watu ni wachokozi😂
 
wee jamaa jaribu kufikiria kwa hekima kidogo!!! wee ulitaka azikwe chapchap kama mchoma mahindi wa IFAKARA???? wee jamaa nia aje??? angeumwa muda mrefu kweli wangejiandaa kwa lolote na angezikwa kama inavopasa,sasa m2 kafa ghafla bin vuu,,alaf ni rais wa nchi,kuna mamabi kibao ya kuwekwa sawa!!!!......wee umeishia form two B nini?????,,,ukiendekeza sana dini bila kuweka akili kidogo utakuwa mpumbavu!!!!!,,,,ndo manake ata NGURUWE tumekatzwa kula,lakini ukiwa huna namna yoyote ya kupata chakula na unaweza kukabiliwa na kifo "RUKSA",,,,wewe ndo wale wanaojilipua nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"sikutegemea una akili GB 1 namna ivi
 
saudia wanaingiza matrilioni ya fedha kwa mahujaji toka sehemu mbalimbali duniani.
Wanaingiza fedha kwa ajili ya wageni wanaokwenda kuhiji, wanaofikia kwenye mahoteli... Hijja kama hijja ni bure!
 
da!
!
 
vilaza weusi wamekuwa kama nyumbu huwaambi kitu kuhusu kupumbazwa akili na dini hiyo. Siku si nyingi watashangaa huko kwa wenye dini yao wameanza kuipuuzia na kuachana nayo
Kama wazungu walivyopuuzia ukristo ndio una maana hiyo.?Sasa wanaume kwa wanaume wanaoana na wewe upo kwenye hilo genge?Dini zipo na kuna vitabu na sheria zake.Wewe fuata umagharibi lakini ukitongozwa ukubali usirushe ngumi.Si unapenda umagharibi wewe.
 
Kuna mambo mawili nayapenda kwa Waislamu ;
1. Ufungaji wa ndoa za Kiislamu hazina gharama kuuuuubwa, hawana mbwembwe nyingi.
2. Msiba wa Kiislamu hauna gharama kubwa, hakuna cha gharama kubwa ya kaburi, Suits, Siku kadhaa kukaa na marehemu huku ukiingia gharama za kuwahudumia waombolezaji.
Ningekuwa mimi ni kiongozi wa dhehebu au Kanisa la mahali ninge copy na kupast haya, kwa ajili ya vijana wasiogope kuoa haraka na kupunguza gharama zisizo na ulazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…