Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Wiki? Kuna mdau alikua anatandaza M kadhaa daily na Mikeka yake anayochoma hizo M alikua anapost humu humu walipoanza kumtukana akaacha kupost na JF akapotea akawa hacomment tenaWatu wanaweka 1 m kwenye mkeka kila wiki.
Ila Nchi kuna umasikini sana, milioni 7 mbona Pesa mdogo tu.
Kubeti mkeka wa laki 1 mbona Jambo dogo tu.
Watu wanaweka 1 m kwenye mkeka kila wiki.
😂Mwingine alilamba M za kutosha baada ya mshua wake kuvuta.Kipindi hicho kuna kota ya nhc inauzwa m8 tu akadai kakiwanja kadogo mnooo yeye tajiri hawezi ishi hapo.Alikuwa analala na wanawake wawili daily eti anamuiga Iddi Amini.Akaenda mjini Dar kurudi anaanza kutuletea tumichongo twa kuuza mafuta ya vibaba na nyanya chungu,eti hatujasanuka tu tunalipa kinyama.Msenge yupo mashineni hukoo anasogeza gunia za mpunga sasa hivi.
Hii na mm nimeona, mtu anaweza kuwa analipwa 10M USA ila yote inaishia kwa basic needs, ila mtu analipwa 1M bongo na saving kubwa anapata,The value of money and expenditure
Nchi ambayo ukiwa na 2500 unakula chakula na soda maana yake mil 7 ukiipigia hesabu sio hela ndogo
Once you earn such amount unakuwa umepiga hatua Fulani nzuri
Sasa ukiwa nje ulaya au marekani hiyo hela ni ndogo Sana
Whata matter most sio kiwango cha hela tu angalia na Earning plus expenditure utaona mil 7 you can do something positivity.
Ni kweli kabisa ,Wiki? Kuna mdau alikua anatandaza M kadhaa daily na Mikeka yake anayochoma hizo M alikua anapost humu humu walipoanza kumtukana akaacha kupost na JF akapotea akawa hacomment tena
Ila sio kubwa kihivyo km million 2 tu ukipewa humalizi siku 4 imekata nini million 7? Wiki tu chali huna hata hela ya chai, ukipata hela km hio ya kichawi nunua assets fasta tafuta kiwanja, na assets zingine nunua kabla hujairudisha yote kwa uliemla maana Jamaa wana kawaida ukiwala hela nyingi kupigwa urogozo ili uirudishe Pesa ni kugusa utanikuta unaanza kurudisha 1000, 2000, 5000 mara Laki haujui ndio unazirudisha hivyoThe value of money and expenditure
Nchi ambayo ukiwa na 2500 unakula chakula na soda maana yake mil 7 ukiipigia hesabu sio hela ndogo
Once you earn such amount unakuwa umepiga hatua Fulani nzuri
Sasa ukiwa nje ulaya au marekani hiyo hela ni ndogo Sana
Whata matter most sio kiwango cha hela tu angalia na Earning plus expenditure utaona mil 7 you can something positivity.
Kweli mkuu kuna mambo mengine yana nguvu isiyo ya kawaida na wengi hawawezi kuiona.Maisha yana sarakasi nyingi sana na kurogwa pia kupo, unapambana kuyaweka Maisha sawa alafu kuna mshenzi yupo sehemu sehemu anapambana kukuroga
Ni ndogo sana1M bongo
Jamaa anajenga hili ghorofa la pili Pesa za betting, usiulize anabet vipi
Hii chai ya moto sana, hakuna hata dereva wa bolt na uber aliejenga ghorofa la floor 1 wengi wanaishi kwenye nyumba za kupangaboda boda wamejenga maghorofa
Heri wali nyama kudadeski.Maisha yana sarakasi nyingi sana na kurogwa pia kupo, unapambana kuyaweka Maisha sawa alafu kuna mshenzi yupo sehemu sehemu anapambana kukuroga
Akimaliza amcheki kanjibai aje alizindue kama vipi😂Kuna Jamaa anashusha ghorofa huku mtaani kwa Pesa za kubet,
wanaangalia zaidi ile 0.01 % walioweza kutusua kwenye mazingira yenye low odds, wajiulize what about the 99.99%Kila kitu kinawezekana mkuu wapo pia hadi boda boda wamejenga maghorofa.
Always fahamu kuwa "success and opportunities lies in the job in an individuals.
Kazi zetu watu wengi na mafanikio yetu haviendani .
Maghorofa kuna hadi walimu wamejenga sometime people do such damn as to rinse their money.
Ni wewe siyo ndugu yako.Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,
Kwa machache nayoyajua:
- alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
- alinunua Tv kubwa nzuri kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
- mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
- alinunua kifriji cha kutunzia grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)
Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe boda
Nimecheka mpaka anayekula daku amepaliwaMwingine alilamba M za kutosha baada ya mshua wake kuvuta.Kipindi hicho kuna kota ya nhc inauzwa m8 tu akadai kakiwanja kadogo mnooo yeye tajiri hawezi ishi hapo.Alikuwa analala na wanawake wawili daily eti anamuiga Iddi Amini.Akaenda mjini Dar kurudi anaanza kutuletea tumichongo twa kuuza mafuta ya vibaba na nyanya chungu,eti hatujasanuka tu tunalipa kinyama.Msenge yupo mashineni hukoo anasogeza gunia za mpunga sasa hivi.
Hii chai ya moto sana,
Ushasema illegal business hapa we're talking about legal business maana betting sio illegal,Soma between the line
Pale Bukoba kuna MTU alikuwa anasafirisha illegal business kutoka Uganda
Sasa alikuwa anaingiza PESA kubwa Sana
Usichoelewa life Ina code nyingi ndo maana nimekuambia huu msemo kuwa "opportunities and success lie in the job"
Something that will determine ur success and opportunities it will just stay hidden.