Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

Ila Nchi kuna umasikini sana, milioni 7 mbona Pesa mdogo tu.
Kubeti mkeka wa laki 1 mbona Jambo dogo tu.
Watu wanaweka 1 m kwenye mkeka kila wiki.

The value of money and expenditure

Nchi ambayo ukiwa na 2500 unakula chakula na soda maana yake mil 7 ukiipigia hesabu sio hela ndogo

Once you earn such amount unakuwa umepiga hatua Fulani nzuri

Sasa ukiwa nje ulaya au marekani hiyo hela ni ndogo Sana

Whata matter most sio kiwango cha hela tu angalia na Earning plus expenditure utaona mil 7 you can do something positivity.
 
Mwingine alilamba M za kutosha baada ya mshua wake kuvuta.Kipindi hicho kuna kota ya nhc inauzwa m8 tu akadai kakiwanja kadogo mnooo yeye tajiri hawezi ishi hapo.Alikuwa analala na wanawake wawili daily eti anamuiga Iddi Amini.Akaenda mjini Dar kurudi anaanza kutuletea tumichongo twa kuuza mafuta ya vibaba na nyanya chungu,eti hatujasanuka tu tunalipa kinyama.Msenge yupo mashineni hukoo anasogeza gunia za mpunga sasa hivi.
😂
 
Hii na mm nimeona, mtu anaweza kuwa analipwa 10M USA ila yote inaishia kwa basic needs, ila mtu analipwa 1M bongo na saving kubwa anapata,

Unaitwa umaskin na utajiri wa kwenye makaratasi
 
The value of money and expenditure

Nchi ambayo ukiwa na 2500 unakula chakula na soda maana yake mil 7 ukiipigia hesabu sio hela ndogo

Once you earn such amount unakuwa umepiga hatua Fulani nzuri

Sasa ukiwa nje ulaya au marekani hiyo hela ni ndogo Sana

Whata matter most sio kiwango cha hela tu angalia na Earning plus expenditure utaona mil 7 you can something positivity.
Ila sio kubwa kihivyo km million 2 tu ukipewa humalizi siku 4 imekata nini million 7? Wiki tu chali huna hata hela ya chai, ukipata hela km hio ya kichawi nunua assets fasta tafuta kiwanja, na assets zingine nunua kabla hujairudisha yote kwa uliemla maana Jamaa wana kawaida ukiwala hela nyingi kupigwa urogozo ili uirudishe Pesa ni kugusa utanikuta unaanza kurudisha 1000, 2000, 5000 mara Laki haujui ndio unazirudisha hivyo
 
Jamaa anajenga hili ghorofa la pili Pesa za betting, usiulize anabet vipi

Kila kitu kinawezekana mkuu wapo pia hadi boda boda wamejenga maghorofa.

Always fahamu kuwa "success and opportunities lies in the job in an individuals.

Kazi zetu watu wengi na mafanikio yetu haviendani .

Maghorofa kuna hadi walimu wamejenga sometime people do such damn as to rinse their money.
 
wanaangalia zaidi ile 0.01 % walioweza kutusua kwenye mazingira yenye low odds, wajiulize what about the 99.99%
 
Nilitegemea pesa hizo zitamsaidia kwamba mwaka umeanza vizuri kwake walau afanye cha maana afungue hata biashara lakini nimekuja kumfatilia naona hakuna la maana alilofanya,

Kwa machache nayoyajua:

  • alinunua simu ya laki 9 kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • alinunua Tv kubwa nzuri kama kainunua dukani ni milioni 1 na laki 2, kaiuza kwa hasara kubwa mno
  • mwanzoni alikuwa anabeti kwa pesa ndogo, aliposhinda anabetia mpaka laki
  • alinunua kifriji cha kutunzia grand malt, ndio yalikuwa maji kwake (hanywi pombe)

Cha maana alichofanya labda kanunua pikipiki mpya, sizijui vizuri bei ila itakuwa inakaribia milioni 2, maybe aifanye iwe boda
Ni wewe siyo ndugu yako.
 
Mwingine alilamba M za kutosha baada ya mshua wake kuvuta.Kipindi hicho kuna kota ya nhc inauzwa m8 tu akadai kakiwanja kadogo mnooo yeye tajiri hawezi ishi hapo.Alikuwa analala na wanawake wawili daily eti anamuiga Iddi Amini.Akaenda mjini Dar kurudi anaanza kutuletea tumichongo twa kuuza mafuta ya vibaba na nyanya chungu,eti hatujasanuka tu tunalipa kinyama.Msenge yupo mashineni hukoo anasogeza gunia za mpunga sasa hivi.
Nimecheka mpaka anayekula daku amepaliwa
 
Hii chai ya moto sana,

Soma between the line

Pale Bukoba kuna MTU alikuwa anasafirisha illegal business kutoka Uganda

Sasa alikuwa anaingiza PESA kubwa Sana

Usichoelewa life Ina code nyingi ndo maana nimekuambia huu msemo kuwa "opportunities and success lie in the job"

Something that will determine ur success and opportunities it will just stay hidden/invisible in eyes of others.
 
Soma between the line

Pale Bukoba kuna MTU alikuwa anasafirisha illegal business kutoka Uganda

Sasa alikuwa anaingiza PESA kubwa Sana

Usichoelewa life Ina code nyingi ndo maana nimekuambia huu msemo kuwa "opportunities and success lie in the job"

Something that will determine ur success and opportunities it will just stay hidden.
Ushasema illegal business hapa we're talking about legal business maana betting sio illegal,
 
Back
Top Bottom