Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Nilichojifunza mtu akitoka mikoani akaenda kuishi dar kisha akarudi mkoa alipotoka kwanza anakuwa na sifa hizi

1. Wajuaji sana
2. Waongeaji sana
3. Matapeli

Huwa mnawapa nini vijana huko dsm?
Siku moja nilikamatwa na askari hapo mkoani enzi za JPM ukiuza dai risiti ukinunua dai risiti.

Kachero mmoja na macheni na Yale majezi makubwa ya 04.

Akaniletea upolisi wa FEUDAL MODEL OF PRODUCTION πŸ˜ŠπŸ˜… Tukatoleana uvivu..unajua MIMI SHERIA SHERIA NAZIJUA JUA so inakua ngumu kuniswaga swaga Kama Ng'ombe sijafanya jinai Wala kukataa kutoa ushirikiano.

Akaniita we kichaa Nini..nikamjibu inamaana muda wote unaongea na kichaa na unategemea akupe/ upate majibu sahihi πŸ˜…πŸ˜… nikamwambia ikiwezekana nipeleke kituoni ukanifunge kifungo Cha Maisha.

Akaja kwa hasira gafla purukushani mikono yangu ukapigwa pingu akanisukuma..NIKAMWAMBIA BROTHER ACHA UPOLISI WA KIZAMANI NA TUSISUKUMANE FUNGUA HIZI PINGU TWENDE KITUONI.

BABA AKO NI MKUU WA MKOA MPIGIE SIMU AJE KUNIPIGA MAKOFI NIMEMKAMATA KIJANA WAKE..Akasema wewe KIJANA unajiamini Sana sijapata kuona.

Mzee akafika wakazungumza akasema huyu KIJANA wangu kutoka DAR πŸ˜ŠπŸ˜… Afande akafurahi Sana akasema vijana wa dar yaani ni shida.

Tukaenda dawati la usuruishi Mimi na afande tukashikana mikono... akasema tusiwekeane vinyongo tukatoka kituoni na mzee kuelekea nyumbani
 
Nilichojifunza mtu akitoka mikoani akaenda kuishi dar kisha akarudi mkoa alipotoka kwanza anakuwa na sifa hizi

1. Wajuaji sana
2. Waongeaji sana
3. Matapeli

Huwa mnawapa nini vijana huko dsm?
Aisee kumbe huu mji ni wa kukaa kikamanda, japo naona Wana lazimisha wani pokee vitu vyangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…