Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Sasa si uni tumie taksi au bodaboda, maana huku mi sipajui.

na naona magari mengi, kwani huku ni mpakani au wana hama?
Usijali kijana mzuri, na hiyo mizigo yako acha tu nije nikufuate mwenyewe. Nitapita shortcut ya goba, nipe kama lisaa limoja hivi.

Tafuta mgahawa ukae, ujiagizie chakula nikifika nitalipia 🙂🤗.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…