monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
TayariDaah its so sad ishu ikoje kile kipindi cha sakata la kibiti walikamatwa akiwepo na yeye ila wakarudishwa baada ya kuona hawakuw na hatia ila huyo imamu ambae alikuwa anawapa mawaidha yanayohusiana na jihadi nasikia aliuliwa huko huko na tangu kipindi hicho ratba yake masaa 24 tunaijua asubuh mpak saa 12 yupo kazin kwake alafu jion anarud nyumban analala na mkewe anathibitisha hajawahi kutoka usiku hata siku moja labda akahisi kuna shughuli nyingine anaifanya kwa siri
Swali kwanza anafanya kazi gani? Na anafanyia wapi kazi zake? Na je unauhakika gani Kama wewe unaifahamu mienendo yake yote? Na Kama unaifahamu mienendo yake je huwa unaambatana nae? Na pia kwanini umejiwahi Sana kusema Ni muislam pia Ni Sunni? Pia je wewe ndio mwakilishi wa Familia katika kulisemea hili?,na kwanini mazingira yake ya kukamatwa umeyataja lakini hujataka kazi anayoifanya?Habari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Kiholela bila taarifa za 'ki-intelijensia'..Hawawezi kuvamia tu
DuhJina lake ni Abdul. Hayo mengine siyo ya kwake.
kuwa raia mwema vinginevyo usiwafundishe kazi watu wa ulinzi na usalama wa nchi yetu. Wao ndio wanajua namna ya kushughulika na wachenzi km hao. Wajue hii ni Tanzania siyo nchi ya majaribioHabari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Ndugu Robert Heriel Mtibeli umeuliza swali zuri ila deep inside umerusha jiwe gizani, ila tumeliona tumelikwepaKwa nini Vijana WA Kikristo wasidanganywe kuwa magaidi?
Kwa nini tahadhari iwe pekee Kwa Vijana WA kiislam?
1. Je Vijana WA kiislam ni wajinga hivyo ni wepesi kulaghaiwa?
2. Je mafundisho ya kiislam ni rahisi kutumika kufanyia ugaidi kuliko mafundisho ya Kikristo?
3. Je Vijana wa kiislam ni Maskini ukilinganisha na Vijana WA Kikristo, Hali ijayosababisha kurubuniwa Kwa Pesa?
4. Je Vijana WA kiislam wanatamaa zaidi kuliko Vijana WA Kikristo?
Kwako Faiza
Ulijuaje kuwa amekamatwa kwa tuhuma za ugaidi? Unajuaje kuwa analazimishwa kukiri jambo ambalo alikuwa hafanyi? Je Kila gaidi Huwa anawaambia ndugu zake kuwa yeye ni gaidi? ACHA ashikiliwe na kuhojiwa kama si gaidi utakuwa naye tena uraiani. Mbona kina Mbowe walikamatwa kwa tuhuma hizo na wameachiwa, Hisia zangu zinaniambia huwenda unafahamu jambo Fulani kuhusu huyo jamaa. Pia Nina shaka kama ni kweli mna undugu wa damu ila ni vinginevyo. Ila usijali haki itatendeka, kama si gaidi ataachiwa huru, ila kama ni kweli gaidi, basi washirika wake wote wajiandae maana atawataja TU.Mihemko vipi bro kwamba taarifa nimetunga au... ishu iko serious yapata wiki ya pili sasa hatujuh mpendwa wet yuko hai au amekufa na hivi hawa jamaa wamepewa hadi kibali cha kuua pasi nakushtakiwa.... kikubwa kilichobaki ni mapenzi ya mungu pekee najua waliko wanateswa na kulazimishwa kusema mambo ambayo walikuw hata hawafanyi
Hakuwa mtu wa misimamo mikali?anafanya shuhuri ganiDuuh kwa bahati mbaya sikuwa hata na picha yake na mimi niko mbali na mkoani maybe nifanye utaratibu wanitumie picha yake then nitaiwasilisha
Huwa wanaletwa central dsmBro kituo cha polisi tumeenda halafu wanasema hawana taarifa yoyote kuhusu tukio ilo so naona order imetok makao makuu
Na yeye pia ana walakini. Yawezekana ndugu walikwenda POLISI kuuliza juu ya Omar, lakini huyu hakwenda. Naona jinsi alivyo na hofu. Kuna maswali mengi juu yake.Poleni sana,lakini ndugu palikua na umuhimu gani wa kuingiza dini hapo ?
Kwa sentensi hiyo ni kama vile unasema huyo mshikaji kakamatwa kwa kuwa ni mwislamu wa dhehebu la sunni na si vinginevyo.
Pombemkuu nilitaka kusema hili. haya majina sio mazuri kabisaa, shida,tabu,masumbuko, maimuna,makata, wasira,
Habari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Ndugu Robert Heriel Mtibeli umeuliza swali zuri ila deep inside umerusha jiwe gizani, ila tumeliona tumelikwepa
Bi Faiza yeye ni muislaam kwahiyo kaongelea kwa upande wake upande Wa dini yake! ilitosha kabisa kutosheka na maneno yake hayo, ukiwa wewe uliona why Muslim youths na sio kwa wakristo nawewe kama mkristo ungewapa nasaha vijana wenu kama uliona kuna umuhimu Wa nasaha hizo
Alafu issue za kibiti sjui wote au asilimia kubwa walikuwa waislaam pia muwe mnajaribu kuzingatia kwamba likitokea jambo flani moshi afu wahusika wote wakiwa ni wachaga msishangae na kuanza kusema wachaga baya Bali ni kwasababu tu 90% ya wakazi Wa huko ni wachaga kwahiyo possibility ya kila tukio awe ni mchaga ni kubwa ila haimanishi uchaga unawafunza hivyo au wachaga wapo hivyo
Tukemee sana ugaidi na kuupinga tena pasi na kuinasibisha na dini flani kama tunavyoaminishwa!
Exile Hii ya Shinyanga naweza kuipata habari kamili kwenye chanzo kipi?Hii dini kuna tatizo la ugaidi mbona wale wa tanga na kibiti walikepo hadi maimamu hakuna mkristo hata mmoja, wengine juzi tu shinyanga wamehukumiwa miaka 45