Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Daah its so sad ishu ikoje kile kipindi cha sakata la kibiti walikamatwa akiwepo na yeye ila wakarudishwa baada ya kuona hawakuw na hatia ila huyo imamu ambae alikuwa anawapa mawaidha yanayohusiana na jihadi nasikia aliuliwa huko huko na tangu kipindi hicho ratba yake masaa 24 tunaijua asubuh mpak saa 12 yupo kazin kwake alafu jion anarud nyumban analala na mkewe anathibitisha hajawahi kutoka usiku hata siku moja labda akahisi kuna shughuli nyingine anaifanya kwa siri
Tayari
TISS 3_0 KAONEWA

Majibu kumbe mnayo
 
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Swali kwanza anafanya kazi gani? Na anafanyia wapi kazi zake? Na je unauhakika gani Kama wewe unaifahamu mienendo yake yote? Na Kama unaifahamu mienendo yake je huwa unaambatana nae? Na pia kwanini umejiwahi Sana kusema Ni muislam pia Ni Sunni? Pia je wewe ndio mwakilishi wa Familia katika kulisemea hili?,na kwanini mazingira yake ya kukamatwa umeyataja lakini hujataka kazi anayoifanya?
 
Kwenye ugaidi ni nadra sana hao jamaa kukosea, mara nyingi huwa ni watulivu mno na wanausoma mtandao wote. Ndipo wanakuja kubeba watu.

Watu wengi wanaojihusisha na ugaidi hauwezi kuwadhania kabisa, wanafanya kwa siri sana, wanakuwa na mitandao yao ya siri kuu. Huku wakiendelea na maisha ya kawaida.

Kama kweli aliwahi kujihusisha kwa namna moja au nyingine ndio basi tena. Kuchomoka ni ngumu sana, ombeni Mungu angalau afikishwe mahakamani.
 
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
kuwa raia mwema vinginevyo usiwafundishe kazi watu wa ulinzi na usalama wa nchi yetu. Wao ndio wanajua namna ya kushughulika na wachenzi km hao. Wajue hii ni Tanzania siyo nchi ya majaribio
 
Kwa nini Vijana WA Kikristo wasidanganywe kuwa magaidi?
Kwa nini tahadhari iwe pekee Kwa Vijana WA kiislam?

1. Je Vijana WA kiislam ni wajinga hivyo ni wepesi kulaghaiwa?

2. Je mafundisho ya kiislam ni rahisi kutumika kufanyia ugaidi kuliko mafundisho ya Kikristo?

3. Je Vijana wa kiislam ni Maskini ukilinganisha na Vijana WA Kikristo, Hali ijayosababisha kurubuniwa Kwa Pesa?

4. Je Vijana WA kiislam wanatamaa zaidi kuliko Vijana WA Kikristo?

Kwako Faiza
Ndugu Robert Heriel Mtibeli umeuliza swali zuri ila deep inside umerusha jiwe gizani, ila tumeliona tumelikwepa

Bi Faiza yeye ni muislaam kwahiyo kaongelea kwa upande wake upande Wa dini yake! ilitosha kabisa kutosheka na maneno yake hayo, ukiwa wewe uliona why Muslim youths na sio kwa wakristo nawewe kama mkristo ungewapa nasaha vijana wenu kama uliona kuna umuhimu Wa nasaha hizo

Alafu issue za kibiti sjui wote au asilimia kubwa walikuwa waislaam pia muwe mnajaribu kuzingatia kwamba likitokea jambo flani moshi afu wahusika wote wakiwa ni wachaga msishangae na kuanza kusema wachaga baya Bali ni kwasababu tu 90% ya wakazi Wa huko ni wachaga kwahiyo possibility ya kila tukio awe ni mchaga ni kubwa ila haimanishi uchaga unawafunza hivyo au wachaga wapo hivyo

Tukemee sana ugaidi na kuupinga tena pasi na kuinasibisha na dini flani kama tunavyoaminishwa!
 
Mihemko vipi bro kwamba taarifa nimetunga au... ishu iko serious yapata wiki ya pili sasa hatujuh mpendwa wet yuko hai au amekufa na hivi hawa jamaa wamepewa hadi kibali cha kuua pasi nakushtakiwa.... kikubwa kilichobaki ni mapenzi ya mungu pekee najua waliko wanateswa na kulazimishwa kusema mambo ambayo walikuw hata hawafanyi
Ulijuaje kuwa amekamatwa kwa tuhuma za ugaidi? Unajuaje kuwa analazimishwa kukiri jambo ambalo alikuwa hafanyi? Je Kila gaidi Huwa anawaambia ndugu zake kuwa yeye ni gaidi? ACHA ashikiliwe na kuhojiwa kama si gaidi utakuwa naye tena uraiani. Mbona kina Mbowe walikamatwa kwa tuhuma hizo na wameachiwa, Hisia zangu zinaniambia huwenda unafahamu jambo Fulani kuhusu huyo jamaa. Pia Nina shaka kama ni kweli mna undugu wa damu ila ni vinginevyo. Ila usijali haki itatendeka, kama si gaidi ataachiwa huru, ila kama ni kweli gaidi, basi washirika wake wote wajiandae maana atawataja TU.
 
Poleni sana,lakini ndugu palikua na umuhimu gani wa kuingiza dini hapo ?
Kwa sentensi hiyo ni kama vile unasema huyo mshikaji kakamatwa kwa kuwa ni mwislamu wa dhehebu la sunni na si vinginevyo.
Na yeye pia ana walakini. Yawezekana ndugu walikwenda POLISI kuuliza juu ya Omar, lakini huyu hakwenda. Naona jinsi alivyo na hofu. Kuna maswali mengi juu yake.
 
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.

Loading...!!!
Na wewe tutakukamata...
 
Achaneni na hizo camp za karate na uhusiano na vikundi vya itikadi kali...... haiwezekani wakakamatwa bahati mbaya.......mwezi uliopita vijana wawili toka Tz walikamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-shabab .......kuna mawakala wanaondeleza mafunzo so acheni huo upuuzi ili muwe salama
 
Ndugu Robert Heriel Mtibeli umeuliza swali zuri ila deep inside umerusha jiwe gizani, ila tumeliona tumelikwepa

Bi Faiza yeye ni muislaam kwahiyo kaongelea kwa upande wake upande Wa dini yake! ilitosha kabisa kutosheka na maneno yake hayo, ukiwa wewe uliona why Muslim youths na sio kwa wakristo nawewe kama mkristo ungewapa nasaha vijana wenu kama uliona kuna umuhimu Wa nasaha hizo

Alafu issue za kibiti sjui wote au asilimia kubwa walikuwa waislaam pia muwe mnajaribu kuzingatia kwamba likitokea jambo flani moshi afu wahusika wote wakiwa ni wachaga msishangae na kuanza kusema wachaga baya Bali ni kwasababu tu 90% ya wakazi Wa huko ni wachaga kwahiyo possibility ya kila tukio awe ni mchaga ni kubwa ila haimanishi uchaga unawafunza hivyo au wachaga wapo hivyo

Tukemee sana ugaidi na kuupinga tena pasi na kuinasibisha na dini flani kama tunavyoaminishwa!

Nilitegemea majibu lakini naona hakuna jibu hata Moja zaidi ya Porojo.
Unakemeaje Ugaidi pasipo kujua chanzo/sababu yake?

Maswali yangu yamelenga chanzo/Sababu. Wewe unaleta mambo yasiyo na maana.
 
Hii dini kuna tatizo la ugaidi mbona wale wa tanga na kibiti walikepo hadi maimamu hakuna mkristo hata mmoja, wengine juzi tu shinyanga wamehukumiwa miaka 45
Exile Hii ya Shinyanga naweza kuipata habari kamili kwenye chanzo kipi?
Nina mtu kati yao alikuwa wa karibu kwenye familia yetu kule Kahama miaka mingi iliyopita.
 
Back
Top Bottom