Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Wewe unapimwa akili na mwanamke?
 
I concur with this.
 
Mahari haitakiwi kuwapo kabisa ulimwengu wa leo.
 

Usimuache!

Mwambie kuwa utalipa hiyo 2.6, Ila utalipa kwanza 1 mil Kisha balance utalipa kwa installments kwa mwaka mzima. Ukimaliza hiyo balance ya 1.6 ndio mpange harusi.

Akikubali hii arrangement maana yake wewe utakuwa na miezi mingine 12+ kupima kama hiyo ngoma ucheze ama ubwage manyanga. Maana ndani ya dakika 90 Ni kama hujamfahamu vema mwenzio, hivyo hii nyongeza ya dakika 30 pengine itakufaa kukausha mechi.

Ukikosa kumuelewa kwenye muda wa nyongeza, ujue kwenye penati hutoboi


Akikataa malipo ya installments ya mwaka mzima kumalizia balance ya 1.6, itabidi ukubali matokeo. Rudi mtoni upya, maana penye mto hapakosi samaki
 
Mwanamke ukimwambia kiasi ulicho nacho hukipigia bajeti chote
 
Uyo si mwanamke wa hadhi Yako kwanza haonyeshi tahadhari ya kukupoteza Kisha Hana upendo wa kwel kwako hata umuoe utakutana na charge kama TRA ndan ya nyumba hapo tafuta wa kuendanae ILO tatzo ndug
 
Big NOOO! USIUE MTAJI KWA AJILI YA NDOA ATAKUENDESHA KAMA GARI BOVU HUYO. KAMA HATAKI HIYO SHE'S AFTER MONEY.
 
Kuna Mjinga mmoja atakuuliza ulimkuta ana Bikra ukijibu ndio atasema lipa ukijibu hapana atasema hana thamani hata ya laki moja
 
Sema watu mna courage
Yani unafikiaje hatua ya kucholeana mstari na mwanamke!!!
Dah
 
Mkuu unataka akuonyeshe nini zaidi ili ujue hakupendi? Hata kama angekuwa labda anasababu ya wewe kutoa pesa zaidi asingekuandikie msg ya namna hii yani ni kama hajali ni unanunua au unaacha unaenda nunua bidhaa nyingine. Achana naye yani achana naye hata akibadili mawazo narudia achana naye. Huyu ni binti ambaye ukishamuoa akapata bwana mwenye pesa kuliko wewe anakuacha ukiwa watazama.
 
Sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…