Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Asimchanganye vipi wakati anampima? Hahaha vijana mtaishia kubakia kataa ndoa milele hivi mnawajua wanawake vizuri nyinyi? Usiulize Dini uliza ni Kabila gani? Anzia hapo ndio maana akampa mikoa ya kwenda kuchukua Cheap Womens kwa bei ya fungu la nyanya 2 yaan awahi Tabora na Kigoma kule Nyarugusu yaan haifiki 1M fasta anachukua chombo, kwa hio muulize huyo binti anatokea mkoa gani? Anzia hapo
Wewe unapimwa akili na mwanamke?
 
Wanawake hawatupendi wanaume!

Wana pretend Ili tuwabebee mizigo ya maisha yao!

Wakishafanikiwa hawatutaki tena!

Wanatafuta waliobora kuliko wewe na kukufukuza kisiasa Kwa kukudharau,kukunyima unyumba na kukugombeza kama mtoto na kebehi juu,ukimuwasha makofi anaenda ustawi kutaka talaka!

Sisi tunazisoma Lamar za nyakati na kuanza kujiondokea kimya kimya!

Huyo wa kwako kaonyesha makucha mapema coz ana mtu tayari anemuona anafaa kuliko wewe ndio Maana katoa kipimo Ili ushindwe aende kwa jamaa anaemuheshim!!

Nilishawadharau Hawa viumbe sitaki hasta kuwasikia Bora ununue kuliko kuwekeza muda ,Mali,na hisia!!

Wabinafsi sana!
I concur with this.
 
Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Mahari haitakiwi kuwapo kabisa ulimwengu wa leo.
 
Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!

Usimuache!

Mwambie kuwa utalipa hiyo 2.6, Ila utalipa kwanza 1 mil Kisha balance utalipa kwa installments kwa mwaka mzima. Ukimaliza hiyo balance ya 1.6 ndio mpange harusi.

Akikubali hii arrangement maana yake wewe utakuwa na miezi mingine 12+ kupima kama hiyo ngoma ucheze ama ubwage manyanga. Maana ndani ya dakika 90 Ni kama hujamfahamu vema mwenzio, hivyo hii nyongeza ya dakika 30 pengine itakufaa kukausha mechi.

Ukikosa kumuelewa kwenye muda wa nyongeza, ujue kwenye penati hutoboi

Akikataa malipo ya installments ya mwaka mzima kumalizia balance ya 1.6, itabidi ukubali matokeo. Rudi mtoni upya, maana penye mto hapakosi samaki
 
Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Mwanamke ukimwambia kiasi ulicho nacho hukipigia bajeti chote
 
Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Uyo si mwanamke wa hadhi Yako kwanza haonyeshi tahadhari ya kukupoteza Kisha Hana upendo wa kwel kwako hata umuoe utakutana na charge kama TRA ndan ya nyumba hapo tafuta wa kuendanae ILO tatzo ndug
 
Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Big NOOO! USIUE MTAJI KWA AJILI YA NDOA ATAKUENDESHA KAMA GARI BOVU HUYO. KAMA HATAKI HIYO SHE'S AFTER MONEY.
 
Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Kuna Mjinga mmoja atakuuliza ulimkuta ana Bikra ukijibu ndio atasema lipa ukijibu hapana atasema hana thamani hata ya laki moja
 
Sema watu mna courage
Yani unafikiaje hatua ya kucholeana mstari na mwanamke!!!
Dah
 
Mkuu unataka akuonyeshe nini zaidi ili ujue hakupendi? Hata kama angekuwa labda anasababu ya wewe kutoa pesa zaidi asingekuandikie msg ya namna hii yani ni kama hajali ni unanunua au unaacha unaenda nunua bidhaa nyingine. Achana naye yani achana naye hata akibadili mawazo narudia achana naye. Huyu ni binti ambaye ukishamuoa akapata bwana mwenye pesa kuliko wewe anakuacha ukiwa watazama.
 
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom