CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Mwanaume rijali kabisa kuwa na mke mmoja ni uzembeMke mmoja anatosha sana.
Tangu mwanzo Mungu aliumba wanadamu 2 tu. Adamu na Hawa. Tubaki na Original Version ya Ndoa. Ukiwa na Mke zaidi ya mmoja tambua kwamba unafanya uzinzi. Ukweli shurti usemwe.
Povu ruksa.
Ina maana shemela Lucas umempiga chini? Atakuroga wale wachawi sana kwao, jiangalie.Nimefanyajeπ
Lakini hakuna katazo hapo.Mt 19:4
Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke
Marko 10:5-9
Neno: Bibilia Takatifu
5 Yesu akawaambia, βMusa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, βMungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.β 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiun ganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.β
Read full
KaniachaIna maana shemela Lucas umempiga chini? Atakuroga wale wachawi sana kwao, jiangalie.
Mimi naona kuna genge sehemu lilitengua ToratiTuseme tu Kwa uwazi
Tusifiche
Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
Kapata shavu siku hizi ndiyo maana hata yale mautumbo yake hatumi tenaKaniacha
Wewe muache tu.Kapata shavu siku hizi ndiyo maana hata yale mautumbo yake hatumi tena
π₯΄Acha uchoyo ban
Lucas MwashambwaWewe muache tu.
Unanichoma?
UpuuziKuongeza idadi ya watu mkuu, ni muhimu sana linchi likubwa hili tuna wajibu wa kuliza, tupigeni mbunye wanaume pisi zipo za kutosha tusilaze damu.
Kama kuwa na mke mmoja ni uzembe basi ngoja tuendelee na huu uzembe wenye faida. Lakini tambua kuwa maagizo ya Mungu ni mke mmoja tu na si vinginevyoMwanaume rijali kabisa kuwa na mke mmoja ni uzembe
Upuuzi kwako weweUpuuzi
Sasa yeye si ndiye amekumwaga ruksa na wewe kuwa na mtu mwingine si naye kapata chawa mwenzake au vipi? ππUnanichoma?
Bado namsikilizia nataka kua mke wa mheshimiwa mie.Sasa yeye si ndiye amekumwaga ruksa na wewe kuwa na mtu mwingine si naye kapata chawa mwenzake au vipi? ππ
Mke mmoja anatosha sana shida ni ugomvi kwenye ndoa husababisha mambo mengine yasiende kama wanavyotakiwa kwenda lakini kwa ndoa yenye upendo mia mia mke mmoja anafaa sanaTuseme tu Kwa uwazi
Tusifiche
Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
Uwe mke mdogo maana amekwisha oaBado namsikilizia nataka kua mke wa mheshimiwa mie.