NTWA MWIKEMO
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 734
- 366
Toka afungwe device ya mabeeberu, haeleweki kabisaaaTundu ni wa kukurupuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka afungwe device ya mabeeberu, haeleweki kabisaaaTundu ni wa kukurupuka
Tulia kwanza ujibu vizuri, hiyo timu ya kampeni haijatamkwa sifa za watu wanaotakiwa humo kwenye timu, Swali linafika sasa, je mtu yeyote anaruhusiwa kuwepo kwenye hiyo timu??So
Si umeambiwa ni timu ya kampeni au hjaelewa
Hao akina Bulaya ,matiko walizunguka sehemu zisizo wahusu?Hili swali linaulizwaje na wewe?
Lissu anazunguka na lema, kazunguka na bulaya, matiko na wote hao ni wagombea
Watu wasiozidi 50, sasa bwana Jiwe mbona anatembea na 100+ ?
Je, mgombea anaruhusiwa kuwa kwa kamati ya mgombea mwingine?
Na je waziri mkuu sheria inasemaje?
Ratiba za wagombea urais inapangwa na tume, Ratiba ya tume inataja mgombea mwenyewe na mgombea mwenza, haina ratiba ya mjumbe wa timu ya kampeni PM hayupo kwenye ratiba.Ratiba zipi?
Hivi hizo ratiba zinaonesha hadi majina ya wana timu ya kampeni?
Hivi Majaliwa akiwa Kagera na Magu yuko Iringa, Majaliwa akisema niko kwenye timu na ratiba ya mgimbea ubunge wa jimbo husika utakuwa na la kuhoji?
Kanuni 17(1)(a) - Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). Kati hao hamsini anaweza kuwamo na aliye kuwa waziri mkuu.Hawajajibu waziri mkuu anafanya kampeni za urais kwa kifungu gani cha sheria.
Ina maana bingwa wa sheria hakuzisoma kanuni hizo. Uzuri amejaliwa kukosa aibu.
Sasa hapa waziri mkuu ametajwa wapi?NEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)
2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
Haya machadema sheria ya uchaguzi huwa hayasomi kabisa...NEC: TIMU ZA KAMPENI
Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)
2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
Wameshajitia kitanzi wenyewe wasubili spana za Tundu Lisu.Ratiba za wagombea urais inapangwa na tume, Ratiba ya tume inataja mgombea mwenyewe na mgombea mwenza, haina ratiba ya mjumbe wa timu ya kampeni PM hayupo kwenye ratiba.
... hakuijua kivipi? Kwani issue yenyewe imeibuliwa na nani? Si ni Lissu huyo huyo? Iko hivi, maadili ya Uchaguzi Mkuu, 2020 yanakataza viongozi wa serikali (mawaziri, RC's, DC's, n.k.) kupigia wagombea kampeni nje ya majimbo au maeneo yao wanayogombea (viongozi hao kama wanagombea ubunge/udiwani).Mbona watu wanalazimisha kwamba tuamini Lissu anajua sheria zote! Hii mbona hakuijua? Au alikuwa busy (bize)! Au hazijui sheria ipasavyo.
Yaani unataka kujua kama Lissu anaweza kuwa kwenye timu ya Maalim Seif au ya Zitto una maana gani?Je, Mgombea anaweza kuwa kwenye timu ya kampeni ya mgombea mwingine?
... halafu Kassim Majaliwa anazunguka huko na huko kumpigia kampeni mgombea mmoja! Ajabu sana hii.Ratiba za wagombea urais inapangwa na tume, Ratiba ya tume inataja mgombea mwenyewe na mgombea mwenza, haina ratiba ya mjumbe wa timu ya kampeni PM hayupo kwenye ratiba.
Tukiwambia Lisu ni debe tupu anaetumia ukiazi wa washabiki wake kuwadanganya mnabisha.
Kwahiyo hivyo vifungu yeye Lisu hakuvisoma?
Tuwekee ratiba yake toka NEC.Halafu eti Msaliti Lissu mnasema ni gwiji la sheria nchini kama ameshindwa hata kutafasiri vifungu hivyo!! Na mbumbumbu wa chadema walikuwa wanashangilia kama ameongea kitu cha maana sana eti Waziri Mkuu Majaliwa na piga kampeni kama nani?
https://www.nec.go.tz/uploads/docum...AMPENI ZA UCHAGUZI WA RAIS TOLEO LA PILI.pdfRatiba zipi?