Uchaguzi 2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

Uchaguzi 2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

So

Si umeambiwa ni timu ya kampeni au hjaelewa
Tulia kwanza ujibu vizuri, hiyo timu ya kampeni haijatamkwa sifa za watu wanaotakiwa humo kwenye timu, Swali linafika sasa, je mtu yeyote anaruhusiwa kuwepo kwenye hiyo timu??
 
Hili swali linaulizwaje na wewe?
Lissu anazunguka na lema, kazunguka na bulaya, matiko na wote hao ni wagombea
Hao akina Bulaya ,matiko walizunguka sehemu zisizo wahusu?
Mwenyekiti wa CDM kanda ya Serengeti lazima awe pamoja na mgombea kwenye kanda yake yote,ndio maana hakuna anaeuliza juu ya Bashiru.
 
Ratiba zipi?

Hivi hizo ratiba zinaonesha hadi majina ya wana timu ya kampeni?

Hivi Majaliwa akiwa Kagera na Magu yuko Iringa, Majaliwa akisema niko kwenye timu na ratiba ya mgimbea ubunge wa jimbo husika utakuwa na la kuhoji?
Ratiba za wagombea urais inapangwa na tume, Ratiba ya tume inataja mgombea mwenyewe na mgombea mwenza, haina ratiba ya mjumbe wa timu ya kampeni PM hayupo kwenye ratiba.
 
Basi jipige kifuani na useme mimi ni mshindi na oktoba Membe anaenda Ikulu sababu waziri mkuu hakai ofosini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hawajajibu waziri mkuu anafanya kampeni za urais kwa kifungu gani cha sheria.
Kanuni 17(1)(a) - Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). Kati hao hamsini anaweza kuwamo na aliye kuwa waziri mkuu.
 
NEC: TIMU ZA KAMPENI

Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3).

Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:

1. Mgombea Urais anapaswa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi hamsini (50). (Kanuni 17(1)(a)

2. Mgombea ubunge katika eneo la Tanzania Bara anapaswa kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri husika timu yake ya kampeni yenye watu wasiozidi ishirini (20). (Kanuni 17(1) (b);
Sasa hapa waziri mkuu ametajwa wapi?
 
Haya machadema sheria ya uchaguzi huwa hayasomi kabisa...
 
Ratiba za wagombea urais inapangwa na tume, Ratiba ya tume inataja mgombea mwenyewe na mgombea mwenza, haina ratiba ya mjumbe wa timu ya kampeni PM hayupo kwenye ratiba.
Wameshajitia kitanzi wenyewe wasubili spana za Tundu Lisu.
 
Mbona watu wanalazimisha kwamba tuamini Lissu anajua sheria zote! Hii mbona hakuijua? Au alikuwa busy (bize)! Au hazijui sheria ipasavyo.
... hakuijua kivipi? Kwani issue yenyewe imeibuliwa na nani? Si ni Lissu huyo huyo? Iko hivi, maadili ya Uchaguzi Mkuu, 2020 yanakataza viongozi wa serikali (mawaziri, RC's, DC's, n.k.) kupigia wagombea kampeni nje ya majimbo au maeneo yao wanayogombea (viongozi hao kama wanagombea ubunge/udiwani).

Sasa swali, as of now, je, Kassim Majaliwa ni Waziri Mkuu wa Tanzania au sio Waziri Mkuu wa Tanzania? Ni kiongozi wa serikali au sio kiongozi wa serikali? Kama NEC imetoa kinachoitwa maadali ya uchaguzi yanayopaswa kuheshimiwa na kila mmoja basi iyasimamie kwa haki bila double standards!
 
Ratiba za wagombea urais inapangwa na tume, Ratiba ya tume inataja mgombea mwenyewe na mgombea mwenza, haina ratiba ya mjumbe wa timu ya kampeni PM hayupo kwenye ratiba.
... halafu Kassim Majaliwa anazunguka huko na huko kumpigia kampeni mgombea mmoja! Ajabu sana hii.
 
Tukiwambia Lisu ni debe tupu anaetumia ukiazi wa washabiki wake kuwadanganya mnabisha.

Kwahiyo hivyo vifungu yeye Lisu hakuvisoma?

Lissu ni mwamba wa sheria subiri mkutano atakaofanya aje ajibu hivi vihoja vilivyotolewa mtaelewa tu. Kuna lile la magufuli kusimama eneo lolote ambalo halipo kwenye ratiba akasalimia na kuweka kamikutano njiani njiani
 
Hivi hii hoja inajibiwa na watoto? Mshaambiwa timu maana ya timu hata huyo Majaliwa anaruhusiwa kufanya kampeni Ila tu aongozane na timu yake inayoruhusiwa kutengenezewa ratiba na nec na kipindi Cha uchaguzi hakuna chama kinaruhusiwa kutumia gharama za serikali na watumishi wa serikari sasa kwa cheo alichokuwa nacho cha uwaziri mkuu kinaleta mkanganyiko hata kwa wakuu wa mikoa na wilaya akifika maeneo yao wanampokea kama waziri mkuu kitu ambacho hakiruhusiwi.
 
Halafu eti Msaliti Lissu mnasema ni gwiji la sheria nchini kama ameshindwa hata kutafasiri vifungu hivyo!! Na mbumbumbu wa chadema walikuwa wanashangilia kama ameongea kitu cha maana sana eti Waziri Mkuu Majaliwa na piga kampeni kama nani?
Tuwekee ratiba yake toka NEC.
 
Back
Top Bottom