Makonda alikwepa kodi akasamehewa hao fastjet walihujumiwa na ATCLKwaiyo ulitaka wakwepa kodi waendelee kuchekewa tu? Fastjet afuate sheria na taratibu atarudi kufanya biashara mbona precision ana operates vizuri tu.
Ili nchi iweze kuendelea lazima tuache kubembelezana ilifikia wakati mpaka wabunge pamoja na kupokea mishahara na marupurupu kibao ila bado walikua kwenye orodha ya wadaiwa sugu wa bodi ya mikopo. Lipa deni bwana ni 15% acha kulialia ili wadogo zako waweze kupata mkopo pia.Kwani hapo mwanzo nilikuwa silipi!? Wewe ndio una roho mbaya kwa kupokonya hata kile kidogo tena bila hata kuongeza mshahara kwa miaka mitano. Huyo mdogo atafikaje kupata mkopo wa chuo wakati hata hela ya kula shida. Hebu kuweni na utu nyinyi wanyonyaji msiokuwa na huruma hata chembe.
Watu tupo kwenye reality wewe unaleta maono..Umenirahisishia kazi...ngoja nikafatute werevu wenye maono.
Comrade mbona mmekata tamaa mapema ivyo? Hakuna cha goli la mkono wala nini ni mapenzi na imani thabiti waliyonayo wananchi kwa chama cha mapinduzi
Hawajui kama humo humo kwa ma DED kuna watu wa upande wa LissuKILICHOFANYIKA NI KWAMBA MKUTANO WA RAISI NA WAKURUGENZI UMESITISHWA SIO KWAMBA HAUKUWAPO KABISA. HIVYO HABARI YA TUNDU LISU ILIKUWA NI YA KWELI
Kuna watu mnajifanya mko tayari kwa shari kumbe ni waoga mnachochea wenzenu wavunjwe miguu ili mfaidi waulize wapemba walipohamasishwa kuandamana wakati Seif Sharif yuko nje ya nchi aliporudi akapewa cheo na malupurupu bila kujali kuna watu walikufa na wengine walipata vilema vya kuumuVita haina hodi ipo siku hata wewe unayetumia huo msemo wa kijinga eti kujificha kwenye keyboard utajutia ubaya wenu, hakuna mabaya hayana mwisho wake ipo siku ushetani wenu utafika mwisho
Magufuli analipa kodi kiasi gani?Kwaiyo ulitaka wakwepa kodi waendelee kuchekewa tu? Fastjet afuate sheria na taratibu atarudi kufanya biashara mbona precision ana operates vizuri tu.
Hatuwezi kumchagua Lissu kibaraka wa mabeberu anayetaka kuyaweka madini yetu rehani. Ni mshenzi sana yaani rasilimali zetu akaziweke rehani pumbavu kabisa.
Leta ushahidi chief minyoo wa makonda kusamehewa kukwepa kodi sio unaleta porojo za vijiweni.Makonda alikwepa kodi akasamehewa hao fastjet walihujumiwa na ATCL
Double standard kivipi? Hatujasikia wagombea wengine wakitaja majina ya wagombea wengine na kutoa taarifa za uongo kama vuvuzela Lissu!!
Hivi mkuu unataka kutuambia kuwa ndugu Wa Ben saanane,azorry, kamanda mawazo,na wwngine wengi watakuja kufurahia matunda ya kazi ya awamu ya tano,.ili hali ndugu zao wamepotea ndani ya awamu ya tano.Siri moja ya kiongozi mzuri ni kujua kuwa huwezi kumfurahisha kila mtu. Magufuli aliamua kwa dhati kuwa lazima nchi isonge mbele regardless ya watu watakaonuna kama wewe. Hatuna muda wa kupoteza kufurahisha watu ni tunapiga kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inasonga mbele.
Wewe endelea kununa watoto wako watakuja kufurahia matunda ya kazi ya serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi imara wa Magufuli.
Unaweza mshinda samaki kwenye maji kuogeleaHaya ameyataka mwenyewe! Ngoja tusubiri tena wamemlea muda mrefu sana!
Tume haotoi formu kwa asiye mtzHakuna lolote na asipoenda wanamfuta ili arudi kwao Ubelgiji.
Wananchi tulikubali kuwa tuwe na tume ya uchaguzi sasa tume ikifanya kazi yake ipasavyo mnakuja kulialia kuwa wananchi hamheshimiwi. Basi hakuna haja ya kuwepo kwa tume uchaguzi uongozwe kwa matakwa ya chadema.Sina haja ya kukata tamaa kwa jambo lililowazi. Pia mi sina chama ila sipendi upuuzi ninaouna ukiendelea na kutaka uendelee. Wananchi tupaswa kuheshimiwa kwa maendeleo yetu.
kama ni kweli najua kila tukio huwa ni fursa kwa Lisu hivyo kwenye kikao hao NEC watakamatana uchawi wenyewe jamaa atakavyo wanyooshea,na uzuri wakimaliza kikao Lisu anatuletea tena hadharani walichozungumza kwenye kikao
Lisu ni mtanzania halisi kuliko hata wewe mhutu mkimbizi, na ataenda kuwachachavya hao tumeccmHakuna lolote na asipoenda wanamfuta ili arudi kwao Ubelgiji.