Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Kwaiyo ulitaka wakwepa kodi waendelee kuchekewa tu? Fastjet afuate sheria na taratibu atarudi kufanya biashara mbona precision ana operates vizuri tu.
Makonda alikwepa kodi akasamehewa hao fastjet walihujumiwa na ATCL
 
Kwani hapo mwanzo nilikuwa silipi!? Wewe ndio una roho mbaya kwa kupokonya hata kile kidogo tena bila hata kuongeza mshahara kwa miaka mitano. Huyo mdogo atafikaje kupata mkopo wa chuo wakati hata hela ya kula shida. Hebu kuweni na utu nyinyi wanyonyaji msiokuwa na huruma hata chembe.
Ili nchi iweze kuendelea lazima tuache kubembelezana ilifikia wakati mpaka wabunge pamoja na kupokea mishahara na marupurupu kibao ila bado walikua kwenye orodha ya wadaiwa sugu wa bodi ya mikopo. Lipa deni bwana ni 15% acha kulialia ili wadogo zako waweze kupata mkopo pia.
 
Comrade mbona mmekata tamaa mapema ivyo? Hakuna cha goli la mkono wala nini ni mapenzi na imani thabiti waliyonayo wananchi kwa chama cha mapinduzi

Sina haja ya kukata tamaa kwa jambo lililowazi. Pia mi sina chama ila sipendi upuuzi ninaouna ukiendelea na kutaka uendelee. Wananchi tupaswa kuheshimiwa kwa maendeleo yetu.
 
Nimefurahi kusikia TUNDU LISU ameitwa Kwenye kamati ya maadili. Wajiandae vizuri, maana watajikuta wao ndiyo wanageuka kuwa watuumiwa. LISSU huwa haangalii anaongea na Nani, kwake la msingi ni kusema kile anachokiamini tena kwa mifano na ushahidi. Wajiandae, hiyo ni Platform nyingine nzuri kwa LISSU kuanika madudu ya Bwana yule Yesu wa LUGO. LA
 
Mgombea anaomba usaidizi wa tume due,ule Moto wa Kanda ya ziwa si wa kitoto.
 
KILICHOFANYIKA NI KWAMBA MKUTANO WA RAISI NA WAKURUGENZI UMESITISHWA SIO KWAMBA HAUKUWAPO KABISA. HIVYO HABARI YA TUNDU LISU ILIKUWA NI YA KWELI
Hawajui kama humo humo kwa ma DED kuna watu wa upande wa Lissu
 
Vita haina hodi ipo siku hata wewe unayetumia huo msemo wa kijinga eti kujificha kwenye keyboard utajutia ubaya wenu, hakuna mabaya hayana mwisho wake ipo siku ushetani wenu utafika mwisho
Kuna watu mnajifanya mko tayari kwa shari kumbe ni waoga mnachochea wenzenu wavunjwe miguu ili mfaidi waulize wapemba walipohamasishwa kuandamana wakati Seif Sharif yuko nje ya nchi aliporudi akapewa cheo na malupurupu bila kujali kuna watu walikufa na wengine walipata vilema vya kuumu
 
Tunaomba Mahojiano Live ndani ya ITV dakika 45 Kati ya Lissu na Kamati ya Maadili ya NEC.
 
Hatuwezi kumchagua Lissu kibaraka wa mabeberu anayetaka kuyaweka madini yetu rehani. Ni mshenzi sana yaani rasilimali zetu akaziweke rehani pumbavu kabisa.

Kama mlikopa na kututia kwenye madeni hiyo ni njia bora ya kuliko kujifanya tuna utajiri unaowanufaisha wachache na familia zao. Kila siku sisi matajiri wakati maisha yanazidi kuwa magumu na makato yanazidi kuongezeka.
 
Double standard kivipi? Hatujasikia wagombea wengine wakitaja majina ya wagombea wengine na kutoa taarifa za uongo kama vuvuzela Lissu!!

Tuko watu wa ajabu sana. Yaani umshutumu mtu bila kutaja jina lake?? Halafu utanukuliwa umemsema nani?? Hamjaona kampeni za sehemu nyingine ya dunia?? Uchaguzi sio dhidi ya vyama tu, ni dhidi ya wagombea zaidi!!

Kila mgombea anapaswa kusema udhaifu au mabaya ya mshindani wake. Sio kumsifia. Kama akimsema kitu cha uongo, aliyesingiziwa anakwenda mahakamani kufungua kesi ya kuchaguliwa. Kwani hakuna kesi za namna hiyo??

Tumeingia katika uchaguzi, tutarajie kusikia mabaya kuhusu tunaowapenda. Kampeni sio lelemama kama unavotaka iwe!!
 
Siri moja ya kiongozi mzuri ni kujua kuwa huwezi kumfurahisha kila mtu. Magufuli aliamua kwa dhati kuwa lazima nchi isonge mbele regardless ya watu watakaonuna kama wewe. Hatuna muda wa kupoteza kufurahisha watu ni tunapiga kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inasonga mbele.

Wewe endelea kununa watoto wako watakuja kufurahia matunda ya kazi ya serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi imara wa Magufuli.
Hivi mkuu unataka kutuambia kuwa ndugu Wa Ben saanane,azorry, kamanda mawazo,na wwngine wengi watakuja kufurahia matunda ya kazi ya awamu ya tano,.ili hali ndugu zao wamepotea ndani ya awamu ya tano.
Ni uongo mkuu..
 
Sina haja ya kukata tamaa kwa jambo lililowazi. Pia mi sina chama ila sipendi upuuzi ninaouna ukiendelea na kutaka uendelee. Wananchi tupaswa kuheshimiwa kwa maendeleo yetu.
Wananchi tulikubali kuwa tuwe na tume ya uchaguzi sasa tume ikifanya kazi yake ipasavyo mnakuja kulialia kuwa wananchi hamheshimiwi. Basi hakuna haja ya kuwepo kwa tume uchaguzi uongozwe kwa matakwa ya chadema.
 
kama ni kweli najua kila tukio huwa ni fursa kwa Lisu hivyo kwenye kikao hao NEC watakamatana uchawi wenyewe jamaa atakavyo wanyooshea,na uzuri wakimaliza kikao Lisu anatuletea tena hadharani walichozungumza kwenye kikao

Tume wanatii maagizo watabakia kutumbua tu macho na kutajana
 
Back
Top Bottom