stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
tatizo lenu ambao ndo upunguani mnataka kujua nan atashinda kwa kuongea sana, huu ni uchaguzi wa ngap? midahali mingap imefanyika? mbowe amekua mwenyekiti mwaka wa ngap? amefanya mdahalo na nan? rushwa yote iliotokea chadema na yeye ndo mwanasheria wa chadema amemfanyia mdahalo mwenyekiti?
mdahalo lissu hataweza kwa sababu magu sio mtu wa kujibu watu hovyo na pia yeye ni mwanasayansi, lissu anaweza onekana mshindi kwa sababu ya mapunguani kama nyie, but in real sense lissu hataweza kujibu maswali ya kisayansi ya magufuli na magufuli hataweza kujibu sana maswali ya lissu kwa sababu sio mwanasheria: ndo maaana nakwambia its useless