Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Sasa uongo ?!Anaposema Magufuli kampa tenda fulani.
Wewe inakuingia akilini kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa uongo ?!Anaposema Magufuli kampa tenda fulani.
Wewe inakuingia akilini kweli?
🙏🙏Tume ya Jaji Fransic Nyalali iliyoundwa mwaka 1991 ilipendekeza mfumo wa vyama vingi na tume huru ya uchaguzi...
Unajua lolote kuhusu maisha yangu?Kuliko kujifariji ni afadhari mkaendelea na maisha yenu tu kutafutia watoto wenu unafuu wa maisha,ni bora zaidi kua huna chama kuliko kushabikia upinzani huu wa kipuuzi tu
Yes!!!,,...comment mujarabu kabisa.Wagombea hawa wawili lazima walindwe
Mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA apewe ulinzi wa kutosha ili asije shambuliwa tena..
Sipo hapa kumuuliza Mkapaau Bashiru,ninakuuliza wewe uliekuja na hoja ya time huru hapa.
Ikiwa wewe mwenyewe hauwezi kusimamaia hoja unazozianzisha mpaka nimtafute mkapa(RIP) au Bashiru, nataka nikushauri uache mkumbo wa kubeba hoja sehemu bila kuelewa misingi yake ni nini.
Angalau kuliko hawa wanaojulikana dhahiri wana kadi za CCM kwenye mifuko ya Suruali na Boxer zaoKwamba hao ndo hawatakuwa na ushabiki wa chama chochote cha siasa[emoji848]?
Malalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea.
Lisu anapaswa kuzilalamikia sera za CCM kama anaona zimefeli maana kinachoshindanishwa sera za vyama siyo watu.
Huu mtindo wa kushambulia watu binafsi tusipoukemea utatufikisha pabaya.
Yuko wapi Sadiffa aliyekuwa anamzushia Lowassa kila aina ya uzushi?
Siasa siyo uadui wagombea mnapaswa kuheshimiana.
Johnthebaptist leo Iringa mjini.
Maendeleo hayana vyama!
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika. Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa...
Sawa mkuu.Angalau kuliko hawa wanaojulikana dhahiri wana kadi za CCM kwenye mifuko ya Suruali na Boxer zao
Malalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea...
Huyu mkurugenzi wa tume ni mtu mpuuzi kwelikweli? Yan refalii wa mchezo anaipangia timu moja namna ya kucheza? Aliyemwambia watanzania wote wanataka hayo aliyoyasema nani?Maskini!
Eti mtaenda nae.
Ni watanzania ndio wanataka hayo, siyo washabiki wa LisuHuyu mkurugenzi wa tume ni mtu mpuuzi kwelikweli? Yan refalii wa mchezo anaipangia timu moja namna ya kucheza? Aliyemwambia watanzania wote wanataka hayo aliyoyasema nani?
Malalamiko ya Tundu Lisu anapaswa kuyaelekeza ama kwa serikali au kwa bunge linaloisimamia serikali lakini siyo kwa Dr Magufuli kama mgombea.
Lisu anapaswa kuzilalamikia sera za CCM kama anaona zimefeli maana kinachoshindanishwa sera za vyama siyo watu.
Huu mtindo wa kushambulia watu binafsi tusipoukemea utatufikisha pabaya.
Yuko wapi Sadiffa aliyekuwa anamzushia Lowassa kila aina ya uzushi?
Siasa siyo uadui wagombea mnapaswa kuheshimiana.
Johnthebaptist leo Iringa mjini.
Maendeleo hayana vyama!
Aongee kwa ushahidi.Sasa uongo ?!
Ubaguzi katika misingi ipi?Wamemwita kwa njia gani? TBC? Magufuli naye wamemwita kwa kuhubiri ubaguzi?
Na wanaomuita kibaraka wana ushahidi ?!Aongee kwa ushahidi.