KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Usidanganye yeyote, na wewe mwenyewe unajidanganya kuwa kuna unachokielewa, ambacho wengine hawakijui!Mwisho wa siku kuna maisha baada ya uchaguzi hata mkipiga porojo uhakika wa magu kurud madarakani upo kwa asilimia kubwa siasa mchezo mchafu ndo maana sitaki kuongelea ya lisu au magu sababu najua kinachoendelea
Endelea kujidanganya mwenyewe, ila usidhani sisi sote hatuna akili za kujua ujuha ukoje.