Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Mashujaa wa nyuma ya keyboard mtafanya nini Lissu akishindwa? Ipo wazi Lissu anaenda kushindwa kwa aibu kubwa sana

Tuchukulie atashindwa, kwani kushindwa ni aibu?
 
Mashujaa wa nyuma ya keyboard mtafanya nini Lissu akishindwa? Ipo wazi Lissu anaenda kushindwa kwa aibu kubwa sana

Tuchukulie atashindwa, kwani kushindwa ni aibu?
 
Dili zipo nyingi CCM kuna trilion 1.5 imepigwa, ununuzi Ndege kuna ufisadi mkubwa na miradi yote mikubwa imejaa ufisadi CCM ni ile ile ukoo wa panya
5yrs tu wamejenga mahoteli na uwanja wa ndege kijijini kwao vipi another 5 yrs again.Miradi mingi mipya haikupitishwa bungeni atujui mikataba yake means utumika Kama kichaka Cha kutakasishia Kodi zetu.Why Siri kwa Kodi zetu
 
Baada ya wagombea urais kuapishwa DEDs wanawajibika kwa NEC. Kitendo cha Magufuli kuwaita DEDs Dodoma yeye akiwa mgombea alivunja sheria za uchaguzi kwa kiwango cha kutishia amani.
Usiwe kipofu dada yetu. Achana na walichosema wahenga kwamba 'Love is blind'.

Isiwepo na uchaguzi wenyewe pia usiwepo. Hiyo ni bora zaidi kuliko kutufanyia kiini macho cha demokrasia.
Sasa comrade kama mmejiridhisha na kuona uchaguzi huu ni kiini macho cha demokrasia si mngeacha kushiriki ili tujue moja?
 
Lissu ameponzwa na Lema na Sugu
 
Ina maana wagombea wa upinzani pekee ndo awajui kujaza formu,yule mgombea wa ccm mbona anatumia kilugha na pia kutisha wapiga kura wasipowachagua anaowataka atawashughulikia, hapa tume imekuwa kiziwi mbona.
Kwaiyo unataka tume ifanye kazi kwa matakwa yako wewe?
 
Dili zipo nyingi CCM kuna trilion 1.5 imepigwa, ununuzi Ndege kuna ufisadi mkubwa na miradi yote mikubwa imejaa ufisadi CCM ni ile ile ukoo wa panya
Leta basi na ushahidi comrade kusupport mashambulizi yako au sababu Lissu ameshasema basi wewe mfuasi wake huna haja ya kutafakari?
 
Nchi imesonga mbele wapi? Nchi umerudi nyuma zaidi deni la Taifa limekuwa maradufu hakuna unafuu wa maisha, wizi wa pesa za umma umezidi zipo wapi trilion 1.5? ipo wapi mikataba ya ununuzi Ndege iliyopelekea CAG kutolewa kafara, utawala huu unatumia pesa za viwanda pesa za maendeleo kuminya demokrasia kufanya mambo yasiyo na tija kwa Taifa kufanya mambo ya hovyo hovyo kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani.
 
Huyu jamaa Mgombea wa Chama cha mbowe amekuwa ni nani hasa, hata ifikie wakati anataka kuteteresha amani ya Nchi yetu, mamlaka husika inabidi imchukulie hatua stahiki huyu jamaa, asitumie jukwaa la siasa kutaka kuteteresha amani ya Nchi yetu.
 
Hivi kwenye hiyo tume kuna mtu wa kumhoji tundu lissu?
 
Vibarua,mboga zinakomaa mashambani Hakuna walaji sababu watu ula maramoja kwa siku.
Fanya kazi kwa bidii comrade hakuna vya bure wala hakuna serikali yeyote duniani itakuletea ugali mezani ule upate nguvu za kujamiana na mkeo.
 
Kwaiyo unataka tume ifanye kazi kwa matakwa yako wewe?
Ifate Sheria na isiwe kiraka Cha uvunjifu wa amani na kuwanyima haki wananchi kuwachagua wawakilishi wao wawatakao na sio kuwachagulia wawawikilishi.
 
Fanya kazi kwa bidii comrade hakuna vya bure wala hakuna serikali yeyote duniani itakuletea ugali mezani ule upate nguvu za kujamiana na mkeo.
Kazi gani watumishi wa umma wana miaka mitano bila nyongeza za mishahara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…