Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashujaa wa nyuma ya keyboard mtafanya nini Lissu akishindwa? Ipo wazi Lissu anaenda kushindwa kwa aibu kubwa sana
Mashujaa wa nyuma ya keyboard mtafanya nini Lissu akishindwa? Ipo wazi Lissu anaenda kushindwa kwa aibu kubwa sana
5yrs tu wamejenga mahoteli na uwanja wa ndege kijijini kwao vipi another 5 yrs again.Miradi mingi mipya haikupitishwa bungeni atujui mikataba yake means utumika Kama kichaka Cha kutakasishia Kodi zetu.Why Siri kwa Kodi zetuDili zipo nyingi CCM kuna trilion 1.5 imepigwa, ununuzi Ndege kuna ufisadi mkubwa na miradi yote mikubwa imejaa ufisadi CCM ni ile ile ukoo wa panya
Usiwe kipofu dada yetu. Achana na walichosema wahenga kwamba 'Love is blind'.Baada ya wagombea urais kuapishwa DEDs wanawajibika kwa NEC. Kitendo cha Magufuli kuwaita DEDs Dodoma yeye akiwa mgombea alivunja sheria za uchaguzi kwa kiwango cha kutishia amani.
Sasa comrade kama mmejiridhisha na kuona uchaguzi huu ni kiini macho cha demokrasia si mngeacha kushiriki ili tujue moja?Isiwepo na uchaguzi wenyewe pia usiwepo. Hiyo ni bora zaidi kuliko kutufanyia kiini macho cha demokrasia.
Kwaiyo unataka tume ifanye kazi kwa matakwa yako wewe?Ina maana wagombea wa upinzani pekee ndo awajui kujaza formu,yule mgombea wa ccm mbona anatumia kilugha na pia kutisha wapiga kura wasipowachagua anaowataka atawashughulikia, hapa tume imekuwa kiziwi mbona.
Kaa la moto hilo!unataka aungue na kuunguza nyumba nzima?Swala la mtoto wa dada kuwa Paymaster General, Polepole huw analisahau akiwa kwenye press conference?
Leta basi na ushahidi comrade kusupport mashambulizi yako au sababu Lissu ameshasema basi wewe mfuasi wake huna haja ya kutafakari?Dili zipo nyingi CCM kuna trilion 1.5 imepigwa, ununuzi Ndege kuna ufisadi mkubwa na miradi yote mikubwa imejaa ufisadi CCM ni ile ile ukoo wa panya
Nchi imesonga mbele wapi? Nchi umerudi nyuma zaidi deni la Taifa limekuwa maradufu hakuna unafuu wa maisha, wizi wa pesa za umma umezidi zipo wapi trilion 1.5? ipo wapi mikataba ya ununuzi Ndege iliyopelekea CAG kutolewa kafara, utawala huu unatumia pesa za viwanda pesa za maendeleo kuminya demokrasia kufanya mambo yasiyo na tija kwa Taifa kufanya mambo ya hovyo hovyo kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani.Siri moja ya kiongozi mzuri ni kujua kuwa huwezi kumfurahisha kila mtu. Magufuli aliamua kwa dhati kuwa lazima nchi isonge mbele regardless ya watu watakaonuna kama wewe. Hatuna muda wa kupoteza kufurahisha watu ni tunapiga kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inasonga mbele.
Wewe endelea kununa watoto wako watakuja kufurahia matunda ya kazi ya serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi imara wa Magufuli.
Huyu jamaa Mgombea wa Chama cha mbowe amekuwa ni nani hasa, hata ifikie wakati anataka kuteteresha amani ya Nchi yetu, mamlaka husika inabidi imchukulie hatua stahiki huyu jamaa, asitumie jukwaa la siasa kutaka kuteteresha amani ya Nchi yetu.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa mgombea huyo atafika mbele ya kamati Septemba 29 mwaka huu.
Akizungumzia uratibu na usimamizi wa kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu amesema tume imekumbana na changamoto kwa baadhi ya wagombea wa kiti cha Rais kutoheshimu sheria, taratibu na maadili ya uchaguzi.
Ameongeza kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakitumia maneno ya kukashifu wagombea wenzao, tume, pamoja na kutoa taarifa zisizo za kweli zenye lengo la kuleta taharuki na uzushi miongoni mwa Watanzania.
Chanzo: TBC Online
Hivi kwenye hiyo tume kuna mtu wa kumhoji tundu lissu?Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa mgombea huyo atafika mbele ya kamati Septemba 29 mwaka huu.
Akizungumzia uratibu na usimamizi wa kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu amesema tume imekumbana na changamoto kwa baadhi ya wagombea wa kiti cha Rais kutoheshimu sheria, taratibu na maadili ya uchaguzi.
Ameongeza kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakitumia maneno ya kukashifu wagombea wenzao, tume, pamoja na kutoa taarifa zisizo za kweli zenye lengo la kuleta taharuki na uzushi miongoni mwa Watanzania.
Chanzo: TBC Online
Tumeccm NECCCM si tume huru bakia nayo huko ifanye kazi kwa matakwa yakoKwaiyo unataka tume ifanye kazi kwa matakwa yako wewe?
Fanya kazi kwa bidii comrade hakuna vya bure wala hakuna serikali yeyote duniani itakuletea ugali mezani ule upate nguvu za kujamiana na mkeo.Vibarua,mboga zinakomaa mashambani Hakuna walaji sababu watu ula maramoja kwa siku.
Unauliza majibu comrade?Tuchukulie atashindwa, kwani kushindwa ni aibu?
Hawapo kwani wote ni makada wa CCM na wateule wa mwenyekiti wa CCM hawana vigezo vya kutekeleza hujuma zaoHivi kwenye hiyo tume kuna mtu wa kumhoji tundu lissu?
Ifate Sheria na isiwe kiraka Cha uvunjifu wa amani na kuwanyima haki wananchi kuwachagua wawakilishi wao wawatakao na sio kuwachagulia wawawikilishi.Kwaiyo unataka tume ifanye kazi kwa matakwa yako wewe?
Kazi gani watumishi wa umma wana miaka mitano bila nyongeza za mishahara?Fanya kazi kwa bidii comrade hakuna vya bure wala hakuna serikali yeyote duniani itakuletea ugali mezani ule upate nguvu za kujamiana na mkeo.